MASIKITIKO
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 959
- 429
Zitto Qushney
Zitto akitimuliwa kesho yake chadema inakufa bila zito hakuna chadema.
Duh hawa jamaa hawana aibu. Wameamua kuukana waraka. Watanzania watambue waraka uliochapishwa ni huohuo, na tena waliugawa wenyewe na kuutuma JF bila kujua madhara yake. Sasa wameumbuka kwa mambo yaliyopo ndani na sasa wanatapatapa.
Tundu Lissu aliwadanganya wajumbe wa Kamati Kuu kuwa 'tukiwafukuza hawa chama kitakuwa imara mara kumi'.
Eti waraka wa kufanya mapinduzi. Mapinduzi kwenye chama cha siasa yanafanyikaje? Hili sakata limempunguzia heshima sana TL. Sasa Mnyika naye hata kwenye kikao hakuwepo ameingia kichwakichwa.
Zitto Qushney
Anzisha uzi nije nikupe ufafanuzi, hapa tunajadili Chadema wamekuja na mpyaa.Ndugu ebu nipe ufafanuzi kidogo hili la KATIBU MWENEZI wa chama (CCM) kumuita Waziri alieteuliwa na Rais kumuhoji juu ya uwajibikaji limekaaje?
Zitto Qushney
Kwani Rais wa Tanzania ni nani kamanda?Hivi Ritz, unaweza kudhibitisha kuwa hawakushinda?
Duh hawa jamaa hawana aibu. Wameamua kuukana waraka. Watanzania watambue waraka uliochapishwa ni huohuo, na tena waliugawa wenyewe na kuutuma JF bila kujua madhara yake. Sasa wameumbuka kwa mambo yaliyopo ndani na sasa wanatapatapa.
Tundu Lissu aliwadanganya wajumbe wa Kamati Kuu kuwa 'tukiwafukuza hawa chama kitakuwa imara mara kumi'.
Eti waraka wa kufanya mapinduzi. Mapinduzi kwenye chama cha siasa yanafanyikaje? Hili sakata limempunguzia heshima sana TL. Sasa Mnyika naye hata kwenye kikao hakuwepo ameingia kichwakichwa.
Zito ninani ndani ya chama chenye wanachama lukuki? Nashauri cc imnyanganye kadi haraka.
Kawachezea kwalipi? Yaleyaliyo semwa kwenye ule waraka msipofanyia kazi shauriyenu.
Zito hakatai kufukuzwa.yupo tayari.anacho kataa yeye kesho na keshokutwa cdm ikiwa vipande vipande asilaumiwe yeye.
tundu Lisu anabwabwaja tu, nilifikili ni mwanasheria nguli kumbe ni boya tu.bi ni mnafiki tu.
Kwani Rais wa Tanzania ni nani kamanda?
Mwenye akili ndogo kama wewe hawezi kumuelewa big brain kama Lissu. Sikulaumu!!!
CDM wameingia choo cha kike.wamedhalilika.
Kwani Rais wa Tanzania ni nani kamanda?