LOOOK
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,466
- 820
Wewe na zito wote walewale wala hamna tofauti unajua hata mungu alimuumba mwanamke akijua kuwa ni rahisi kushawishika na ndio maana yule nyoka alianza na hawa wala hakuanza nza adam ,sasa nashangaa siku hizi vivulana na zito kabwe na vivulana vyenzie vimebeba tabia za mwanamke kama hawa,yaani hawana hata hadhi ya kuwa wanaume hata kwa vivulana ni kuwapendelea tu huenda hata sifa hiyo hawana bali suruali tu zinawasitiriHuo orijinali ndo uko wapi? Yule padri anataka kutuvurugia chama. Mzee ana roho ya chuki,inda na majivuno. Nitampgia kura diwani na mbunge wa chadema ila kama huyo mnafiki atateuliwa na chama sitompgia kura. Ana roho mbaya kama alshabab