Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

Kamanda,mbona unatokwa povu! Tuliza munkari! Tutawapa ukweli mpaka mtaja.............!
hivi wwe unafikiri utawaweza CHADEMA ?? hata mkilala kwa bibi kalembwani miaka kumi swala litabaki kuwa ccm elfu moja sawa na chadema 1 tena kama ccm mwenyewe atakuwa na akili kama zako basi itakuwa ccm 10,000 sawa na chadema 1 f.y
 
TUNA M-MISS SANA J.K.NYERERE:
1. Idd Amini - Alipoivamia Tz.... Mwalimu alitamka tutampiga nduli!.. Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia Uganda.... 2. Kolimba - Alipotamka CCM imepoteza Dira na Mwelekeo... Mwalimu alimwita Dodoma akamuuliza nani kakutuma useme hivyo?!.. Ndio ukawa mwisho wa Kolimba!.. 3. Samweli Sitta - Alipokuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi UDSM aliongoza mgomo wa wanafunzi wenzake kudai siagi na maziwa!... Mwalimu aliibuka pale chuoni akamuuliza Samweli Samweli kwenu mnakunywa maziwa kweli?!.. Akamwambia lala chini, akamcharaza bakora na mgomo ukaishia hapo hapo!... 4. Abdul Jumbe! - Alipotaka serikali tatu!.. Nyerere alimuuliza moja kujumlisha moja ni ngapi?!.. Jumbe akajibu ni mbili!.. Nyerere akamwambia kama ni mbili mbona unataka serikali tatu?!.. Huo ndio ukawa mwisho wa Abdul Jumbe kuwa Rais wa Zanzibar!.. 5. John Samwel Malecela - Ni baada ya taarifa kuzagaa kuwa amebadili dini na jina ili apate kuungwa mkono na nchi za kiislamu kugombea Urais mwaka 1995!.. Nyerere alimwambia wee John wewe umeenda Arabuni mara moja umebadilisha jina sasa unaitwa Jumanne!. Ukienda mara ya pili si utabadilisha kabila?!... Huo ukawa mwisho wa ndoto zake kuwa Rais wa Tz !... 6. Edward Lowassa - Alipokodi ndege binafsi ikampeleka hadi dodoma kwenye vikao vya mchujo wa wagombea Urais kupitia CCM mwaka 1995 alimpa lift JK!.. Nyerere alimuuliza mmekuja na Ndege dodoma pesa mmetoa wapi?!.. Jina la Lowassa likakatwa kabla ya vikao vya mchujo!.. . Natamani Nyerere angekuwepo sasa na mwaka 2015!

Nimeichukua kule, nimeileta huku!
 
kweli una kamasi kwnye kichwa wamelikataa wakat ni waz kuwa amepew mabilion ya fedha na liccm lenu,,,,

Hakuna ushahidi kama kachukawa pesa.nandiomaana slaa,mbowe,marando walikataa ile ripoti yenu yakike ya umalaya wenu.
 
hivi wwe unafikiri utawaweza CHADEMA ?? hata mkilala kwa bibi kalembwani miaka kumi swala litabaki kuwa ccm elfu moja sawa na chadema 1 tena kama ccm mwenyewe atakuwa na akili kama zako basi itakuwa ccm 10,000 sawa na chadema 1 f.y

Kamanda, hii saccos haina uhai tena!
 
Chadema ni ma mafia wa ukweli! Bora zito asijitoe kwa usalama wake, wanaweza kum chacha wangwe!
mbinu za ccm ni za kizee sana ndio mana kundi zima la usalama wa taifa tanzania linachemsha kwa red brigade mmoja tu wa chadema kiutendaji, f.y
 
hiv huyu ------ anayejiita ben saa nane yuko wp,aje akanushe na hili manake yeye ndo katibu mwenez wa familia ya mbowe!!mtoto mjinga sna hyu,leo naona wameshikwa pabaya si kawaida yake kukaa kimya hiv,cijawahi kuona chama cha kikuda hv kama chadema
 
hiv huyu ------ anayejiita ben saa nane yuko wp,aje akanushe na hili manake yeye ndo katibu mwenez wa familia ya mbowe!!mtoto mjinga sna hyu,leo naona wameshikwa pabaya si kawaida yake kukaa kimya hiv,cijawahi kuona chama cha kikuda hv kama chadema

Jamani,let's be realistics! Hivi chadema ni chama cha siasa au mradi wa siasa!?
 
Wameambiwa watutajie mkiti ccm aliyewahi kugombea wamebuta. Waseme ilikuwa lini? Alishindana na akina nani? Aliwashinda kwa kura kiasi gani. Kama kwao huwa hamna kugombea kwnn wanataka kuwe CDM?
 
Back
Top Bottom