Zitto akitimuliwa kesho yake chadema inakufa bila zito hakuna chadema.
Hypothetically speaking, hivi Zito akifa (mungu mzidishie maisha marefu) kama binaadamu wengine wanvyokufa (by the way ni wajibu wake na hawezi kuukwepa) Je unatuhuakikishia ndio mwisho wa Chadema?! Kama hivyo ndivyo basi haina haja wala maana kuwa na chadema iliyojengwa juu ya maisha ya zitooo.... Ni aibu kuwa mwanachama wa chama kilichojengwa juu ya maisha ya mtuu...
Alikuwepo nyerere na zikadumu fikra zake sasa ni miaka zaidi ya kumi tangu atangulie mbele za haki lakini Tanzania bado ipo, CCM imeondoka kwenye misingi aliyoijenga watu wanapiga dili za kifisadi wanporomosha majengo ya kufru na waweka fedha zao uswiswi.. maisha yanendelea?!! Miaka hiyo ungeambiwa nyerere ataondoka na wanzake watamsahau ungekubaliii?!!
Fikiriiii