Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
- Thread starter
- #41
wameshanikera sana!! mara waraka huu!! mara huu!!njia ya mwongo ni fupi!! tutaufahamu tu ukweli!!
Inavyoelekea, wanasubiri waraka kutoka Tengeru kwa mwenye mali!
wameshanikera sana!! mara waraka huu!! mara huu!!njia ya mwongo ni fupi!! tutaufahamu tu ukweli!!
Akiingia ccm watamtumia 2015 kwenye uchaguzi kama chambo na alivyo hajitambui yeye ninani, ndo bas tena keshakuwa mateka kaungana na mazuzu wenzie CCMMtasubiri sana kuona hayo yakitokea. Huyo mbona tushamfukuza na chama hakija yumba. Mpeni nafasi ya uenyekiti ccm.
Mbona wao ndiyo walituwekea leo tena wanasema ni feki kubenea anawapotosha hawana lolote.
Tuhuma (zenye ushahidi beyond reasonble doubts) dhidi ya Zitto ni nyingi. Ana makosa mengi ila hata kwa hayo machache bado hawezi pona. Amini usiamini lakini kama wakiyaanika yote si Zitto wala wapambe wake watathubutu kuonesha nyuso zao popote walipo waungwana.
CHADEMA haimini katika character assassinations na ndio maana wamekuwa wavumilivu na ku-exercise massive constraints ktk hili na mengine mengi tu.
Zitto na washirika wake wanapanga kuendesha kampeni chafu za propaganda kwa staili ile ile ya PM-7 aka Masalia. So tutaona mengi na kusikia mengi ktk hizi sarakasi lakini vumbi likitulia he will be down and out!
Mnaogopa nini, Kitila na Zitto si wapo? So far all your defensive arguments are null and void.nimesikia lisu akisema huu waraka tunaousoma hapa jf ni feki.nimeamini hawa jamaa ni makanjanja
Wanataka waandike waraka mwingine ndipo waturetee.
Tulia we mama! Kiongozi gani wa makao makuu aliuleta hapa?. Hatumtaki zitto,mchukueni magambani huko.
Tuhuma (zenye ushahidi beyond reasonble doubts) dhidi ya Zitto ni nyingi. Ana makosa mengi ila hata kwa hayo machache bado hawezi pona. Amini usiamini lakini kama wakiyaanika yote si Zitto wala wapambe wake watathubutu kuonesha nyuso zao popote walipo waungwana.
CHADEMA haimini katika character assassinations na ndio maana wamekuwa wavumilivu na ku-exercise massive constraints ktk hili na mengine mengi tu.
Zitto na washirika wake wanapanga kuendesha kampeni chafu za propaganda kwa staili ile ile ya PM-7 aka Masalia. So tutaona mengi na kusikia mengi ktk hizi sarakasi lakini vumbi likitulia he will be down and out!
Eti wanadai ule waraka alioukiri Kitila ni feki! Na kwamba baada ya kikao kijacho wakilazimika kuutoa ule orijino watafanya hivyo!
My take: chadema mtamfanya Zito aseme ambayo hakutaka kuyasema!itakula kwenu!
Mnaogopa nini, Kitila na Zitto si wapo? So far all your defensive arguments are null and void.
Hata kale ka dogo ka Ubungo, kanacheza midundo ya Mbowe bila kujua madhara ya baadae! Ngoja kapigwe chini ubungo tukakute mitaani, kataomba mpaka buku!
ungekuwa fake tunajua vijana wao wakina Mwita Maranya, Ben Saanane Yericko Nyerere, Henry Kilewo, Mungi wange shatoboa siri maana huwa hawawezi kunyamaza.
Katika hili wanazidi kujitia aibu na ni wazi wamesha tengeneza wa kwao.
Na kwanini hiwe siri?
Tundulisu anatumika sana na saccos.