Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

Inavyoelekea, wanasubiri waraka kutoka Tengeru kwa mwenye mali!

utahangaika sana mama mchawi wa zitto ni yeye mwenyewe hakuna za waraka kutoka tengeru wala nini kuna ushahidi mpaka wa video..
 
Eti wanadai ule waraka alioukiri Kitila ni feki! Na kwamba baada ya kikao kijacho wakilazimika kuutoa ule orijino watafanya hivyo!
My take: chadema mtamfanya Zito aseme ambayo hakutaka kuyasema!itakula kwenu!

KIpi ambacho atakisema ambacho hajawahi kusema kikawa kipya huyo mwenye domo fyatu anaropoka anatukana anakashifu, anadhariisha watu aseme tuu kwanza wamesema chadema ni wahafidhina, aseme ili wananchi tuthibitishe usaliti wake kwa gharama za dola million moja alizopewa na tiss kama hajazi serve ataishi maisha ya kunuka mno no wonder kawa motto wa mama ili mama afiche mamburungutu chini ya mvungu
 
Kawachezea kwalipi? Yaleyaliyo semwa kwenye ule waraka msipofanyia kazi shauriyenu.

Zito hakatai kufukuzwa.yupo tayari.anacho kataa yeye kesho na keshokutwa cdm ikiwa vipande vipande asilaumiwe yeye.

Sasa kinachokuuma wewe ni nini,si ufurahi? Kinachonishangaza ccm mnaumia sana zitto kutolewa cdm,si ndiyo mfurahi na kufanya sherehe maana cdm ndiyo inaenda kuwa vpande vpande. Acheni ujinga wenu mnakuwa kama wehu kulia lia ktk jambo hili.
 
TUNA M-MISS SANA J.K.NYERERE:
1. Idd Amini - Alipoivamia Tz.... Mwalimu alitamka tutampiga nduli!.. Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia Uganda.... 2. Kolimba - Alipotamka CCM imepoteza Dira na Mwelekeo... Mwalimu alimwita Dodoma akamuuliza nani kakutuma useme hivyo?!.. Ndio ukawa mwisho wa Kolimba!.. 3. Samweli Sitta - Alipokuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi UDSM aliongoza mgomo wa wanafunzi wenzake kudai siagi na maziwa!... Mwalimu aliibuka pale chuoni akamuuliza Samweli Samweli kwenu mnakunywa maziwa kweli?!.. Akamwambia lala chini, akamcharaza bakora na mgomo ukaishia hapo hapo!... 4. Abdul Jumbe! - Alipotaka serikali tatu!.. Nyerere alimuuliza moja kujumlisha moja ni ngapi?!.. Jumbe akajibu ni mbili!.. Nyerere akamwambia kama ni mbili mbona unataka serikali tatu?!.. Huo ndio ukawa mwisho wa Abdul Jumbe kuwa Rais wa Zanzibar!.. 5. John Samwel Malecela - Ni baada ya taarifa kuzagaa kuwa amebadili dini na jina ili apate kuungwa mkono na nchi za kiislamu kugombea Urais mwaka 1995!.. Nyerere alimwambia wee John wewe umeenda Arabuni mara moja umebadilisha jina sasa unaitwa Jumanne!. Ukienda mara ya pili si utabadilisha kabila?!... Huo ukawa mwisho wa ndoto zake kuwa Rais wa Tz !... 6. Edward Lowassa - Alipokodi ndege binafsi ikampeleka hadi dodoma kwenye vikao vya mchujo wa wagombea Urais kupitia CCM mwaka 1995 alimpa lift JK!.. Nyerere alimuuliza mmekuja na Ndege dodoma pesa mmetoa wapi?!.. Jina la Lowassa likakatwa kabla ya vikao vya mchujo!.. . Natamani Nyerere angekuwepo sasa na mwaka 2015!

Nimeichukua kule, nimeileta huku!

ahaa!! ahaa!!!! "" upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM" by nyerere
 
Kwa mujibu wao ni DR.SLAA, ingawa hata wao hawaamini kama Slaa anaweza kuwa Rais..

Cetainly ndio rais mwambie ahmad msangi alichomfanyia dr ulimboka na dr Mvungi wananchi anakifahamu wakija kusema tools down ndio watakapojijua
 
Eti wanadai ule waraka alioukiri Kitila ni feki! Na kwamba baada ya kikao kijacho wakilazimika kuutoa ule orijino watafanya hivyo!
My take: chadema mtamfanya Zito aseme ambayo hakutaka kuyasema!itakula kwenu!

Zitto atafanya ziara nchi nzima. Cdm KEISHNEY
 
Jamani,let's be realistics! Hivi chadema ni chama cha siasa au mradi wa siasa!?

matatizo ya kupewa tigo pesa laki mbili unajisahau kwa kubemendwa kweli rupia haramu chadema imekuweka mjini wewe na mama yako hujijui wewe
 
TL kudai kuwa waraka uliovhapishwa mitandaoni na magazetini no bandia wakati no wenyewe wameibujisha huko inanikanganya . Anakana baada ya kuonekana kuwa umeandikwa kitoto na wingi wa uzushi usio na mashiko wala ushawishi.
 
Zitto hana ubavu wa kuchezea vichwa za maelefu ya Watanzania wanaokiunga mkono chadema. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Mtu mmoja hawezi kushindana na nguvu za Mungu.

Muambieni akome kabisa, na wala hatuogopi kumtimuwa.

acha ufumbafu wewe,wayahudi wengi waliabdamana na kusema asulubiwe hiyo ilikua sauti ya Mungu?usilete falsafa za kishetani kwa kuhalalisha uharo Wako nyambafuuuuuu
 
Ingekuwa hivyo mngeshinda uchaguzi.
Kwa mujibu wa Takwimu sahihi CCM imewahi kushinda uchaguzi mmoja tu wa 20005! Mwaka 1995 Lyatonga alishinda japokuwa nae alikuwa mole wa CCM! Mwaka 2000 Lipumba alishinda, Mwaka 2010 Dr Slaa alishinda kwa mbali... Maajabu Rais kutangazwa mshindi eti kwa kura chini ya milioni 5! ...IGP kaona mbali ndiyo maana anaachia ngazi mapema kabla ya 2015 mliyomlazimishia...
 
Chadema naomba kuwapa pole kubwa hii sacos watu wameistukia make fumbo mfumbie mjinga mjanja atalibaini tu.
chadema walijikita kwenye mwamvuli wa siasa kumbe ni walaghai tu walijifanya wanajua kumbe wanaungua jua .
lisu na mnyika nao wamekuwa mavuvuzela ya mbowe na slaa na sijui kama wanajua kuwa mbowe kaifanya chadema kuwa sacos yake.
 
Kama Zitto hana Ubavu kwanini wanakuwa waoga kuitisha Uchaguzi.

Maccm mnapenda kuropoka,nani amekwambia uchaguzi unaitishwa kwa matakwa ya ccm?Nani alikwambia muda wa uchagizi umepita? Au ni kutimiza idadi ya post zako ili ukachukue buku 7 zako?hata kipindi hiki mmejiabisha kwa kudhihirisha jinsi gani Zitto mnamtumia kuhujumu.kama mnaamini kuwa zzk ni kiongozi mahiri,kwanini mnashabikia awe mwenyekiti ili afanikishe kuwang'oa madarakani?
Tuambieni wazi kama mko tayari CDM kushika dola ikiwa chini ya Zzk.na hili mtangaze kwenye vyombo vya habari,kwamba akiendelea kuongoza Mbowe hamtoki ikuly,akiwa ZZk mko tayari kuondoka.uone ni wananchi wangapi wataunga mkono.
Acheni upuuzi wenu,hapa haongozwi mtu na zzk tena kwa matakwa ya ccm.
 
Chadema ni ma mafia wa ukweli! Bora zito asijitoe kwa usalama wake, wanaweza kum chacha wangwe!

ccm watu hatari sana, zitto yeye acheze na nyie tu! hamkawii kum-Kolimba aka ku-Balali aka ku-Kombe aka ku-SaloMbatia, etc! nyie watu hatari sana!
 
Back
Top Bottom