Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

Aibu: Tundu Lissu adanganya tena

Kama LISSU ameweza kuwakana wananchi wa jimbo lake! atashindwa kuukana huu waraka walioutengeneza wenyewe?
 
matatizo ya kupewa tigo pesa laki mbili unajisahau kwa kubemendwa kweli rupia haramu chadema imekuweka mjini wewe na mama yako hujijui wewe

Kamanda nitake radhi na umtake radhi Makengeza! Mi chadema naitambua kama saccos ya wapiga dili na mi si mmoja wao! Ila umemkosea makengeza,maana huu ni mradi wa mkwewe na yeye! So i demand an apology right now! Or else....!
 
Kawachezea kwalipi? Yaleyaliyo semwa kwenye ule waraka msipofanyia kazi shauriyenu.

Zito hakatai kufukuzwa.yupo tayari.anacho kataa yeye kesho na keshokutwa cdm ikiwa vipande vipande asilaumiwe yeye.

Kabla huja ongea lolote kuhusu chadema na zito, unahitaji kuji uliza maswali haya.

1. Chadema ni zito kiasi bila yeye chadema haito kuwepo tena?
au
2. Chadema ni people's power?

Ukipata jibu hauto babaishwa na kelele za mfamaji zito.
lazima utambue kuwa chadema ni kama nyumba na wapiga kula wake ndio wa miliki na pia NO body wants to live with a snake in house.

Chadema endelezeni harakati zenu za kuwa vua magamba hao. Msimuogope msaliti yeyote yule mkaja onekana chama chenu kina ogopa magamba kama ndugu zenu walivyo shindwa kuwa vua uwanachama magamba wake wanao kiujumu chama chao.

Zito ime kula kwako..rudi kigoma ukaji tathimini upya kama unafaa kuwa katika chama chochote kile.
After all your nothing na siasa zako za kujidai unaibua taarifa za kifisadi kila siku ili usikike alafu mwisho hakuna chochote kinacho fanyika dhidi ya tuhuma unazo jidai kinala wa kuzi ibua.
Kwa haya yalio kukuta na amini yote ulio kuwa unayafanya yalikuwa yana tokana na tabia za usaliti na sio uchungu kwa Taifa wala wapiga kula wako.
 
Kwa mujibu wa Takwimu sahihi CCM imewahi kushinda uchaguzi mmoja tu wa 20005! Mwaka 1995 Lyatonga alishinda japokuwa nae alikuwa mole wa CCM! Mwaka 2000 Lipumba alishinda, Mwaka 2010 Dr Slaa alishinda kwa mbali... Maajabu Rais kutangazwa mshindi eti kwa kura chini ya milioni 5! ...IGP kaona mbali ndiyo maana anaachia ngazi mapema kabla ya 2015 mliyomlazimishia...
Mkuu usipende kuokota maneno mitaani na kuleta JF ukisimamishwa mahakamani unaweza kuleta ushahidi.
 
TL kudai kuwa waraka uliovhapishwa mitandaoni na magazetini no bandia wakati no wenyewe wameibujisha huko inanikanganya . Anakana baada ya kuonekana kuwa umeandikwa kitoto na wingi wa uzushi usio na mashiko wala ushawishi.
zitto na kitila wameshapanic haajui hata afanye nini ana spin hata wanatoa waraka feki ili wapate sympathy ya ananchi lakini ukweli wamegundulika ni wapinga mabadiriko wasaliti wakubwa
 
Kama LISSU ameweza kuwakana wananchi wa jimbo lake! atashindwa kuukana huu waraka walioutengeneza wenyewe?

baada y asiku na kumi nne utakimbia jamvi mfadhili msaliti mkubwa wa masalia nayewabemenda kwa shilingi laki mbili atakuwa out ha ha sijui utampelekea nani mafrustration mwanaume unapakatwa na wanaume wenzio kiuchumi tiss itagoma kumpa zitto pesa
 
tundu na minyika wanahaha tu, uwezo wa kumuondoa zito hawana. eti waraka upo kwenye laptop hata sheria ya ushahudi hajui eti ni mwanasheria mkuu chadema. kinachomtisha mbowe kugombea na wenzake ni nini. alianza kaburu akastuka kabla hajafa akaanza, kaja chacha wangwe kadedi. cdm hakuna demikrasia kumejaa wahuni na firm 4 drop out tu.
 
Kabla huja ongea lolote kuhusu chadema na zito, unahitaji kuji uliza maswali haya.

1. Chadema ni zito kiasi bila yeye chadema haito kuwepo tena?
au
2. Chadema ni people's power?

Ukipata jibu hauto babaishwa na kelele za mfamaji zito.
lazima utambue kuwa chadema ni kama nyumba na wapiga kula wake ndio wa miliki na pia NO body wants to live with a snake in house.

Chadema endelezeni harakati zenu za kuwa vua magamba hao. Msimuogope msaliti yeyote yule mkaja onekana chama chenu kina ogopa magamba kama ndugu zenu walivyo shindwa kuwa vua uwanachama magamba wake wanao kiujumu chama chao.

Zito ime kula kwako..rudi kigoma ukaji tathimini upya kama unafaa kuwa katika chama chochote kile.
After all your nothing na siasa zako za kujidai unaibua taarifa za kifisadi kila siku ili usikike alafu mwisho hakuna chochote kinacho fanyika dhidi ya tuhuma unazo jidai kinala wa kuzi ibua.
Kwa haya yalio kukuta na amini yote ulio kuwa unayafanya yalikuwa yana tokana na tabia za usaliti na sio uchungu kwa Taifa wala wapiga kula wako.

Haya,tukubaliane na hoja yako no 2, chadema ni peoples power! Haya safari hii tukaanzie kigoma kamanda! Unaonaje?
 
Una post 26 tu umejaa majungu .Ukiwa hapa mwaka itakuwaje ? Zitto na Kitila wamesha sema .Na ulisikia Kitila anakiri ndiyo utu ule kwamba ni kweli aliandika na wanahukumiwa kwa huo huo waraka .Ujinga wako hausaidii lolote .Wenye chama ama viongozi wamesha amua .Wewe na kinyesi kichafu tu kupiga mayowe hapa .Does not help anything .Ukitaka usikike nenda Chadema ofisini .Hapa unapoteza muda na una pwaya mbele ya GT's
thats true , wengine ndugu wana post kukuza mada lakini si kuelewa mada
 
Alaumiwe yeye kama nani, kama ni rushwa si kavuta sana mbona siri zake akina mathredi walishazianika siku nyingi sana !! Au kwa vile walikuwa majuu mnafikiri habari hazikufika ???

Kawachezea kwalipi? Yaleyaliyo semwa kwenye ule waraka msipofanyia kazi shauriyenu.

Zito hakatai kufukuzwa.yupo tayari.anacho kataa yeye kesho na keshokutwa cdm ikiwa vipande vipande asilaumiwe yeye.
 
Zitto hana ubavu wa kuchezea vichwa za maelefu ya Watanzania wanaokiunga mkono chadema. Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu. Mtu mmoja hawezi kushindana na nguvu za Mungu.

Muambieni akome kabisa, na wala hatuogopi kumtimuwa.

Kwa jinsi Zitto anavyovichezea vibichwa vya mbowe na slaa inatosha kabisa.
 
tundu na minyika wanahaha tu, uwezo wa kumuondoa zito hawana. eti waraka upo kwenye laptop hata sheria ya ushahudi hajui eti ni mwanasheria mkuu chadema. kinachomtisha mbowe kugombea na wenzake ni nini. alianza kaburu akastuka kabla hajafa akaanza, kaja chacha wangwe kadedi. cdm hakuna demikrasia kumejaa wahuni na firm 4 drop out tu.

kama mnataka zito agombee uenyekiti wa chama si mumkaribishe agombee kuwa mwwnyekiti wa ccm taifa!!! shida iko wapi?
 
Wafukuzwe tuuu bila kujali sura, mamluki sababu ya tamaa sio powa kabisa !! Waende huko huko na waone wataishiaje....!! Wapi Lamwai last time nilimuona amekula laizoni chafu kama magari ya mecco na kisigino kimelika upande mmoja ncha kali unaweza katia mkate au nyama !!

Nasikia hata kwenye chibuku na ugimbi anapiga chabo alivyo hoi !!!
 
TUNA M-MISS SANA J.K.NYERERE:
1. Idd Amini - Alipoivamia Tz.... Mwalimu alitamka tutampiga nduli!.. Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia Uganda.... 2. Kolimba - Alipotamka CCM imepoteza Dira na Mwelekeo... Mwalimu alimwita Dodoma akamuuliza nani kakutuma useme hivyo?!.. Ndio ukawa mwisho wa Kolimba!.. 3. Samweli Sitta - Alipokuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi UDSM aliongoza mgomo wa wanafunzi wenzake kudai siagi na maziwa!... Mwalimu aliibuka pale chuoni akamuuliza Samweli Samweli kwenu mnakunywa maziwa kweli?!.. Akamwambia lala chini, akamcharaza bakora na mgomo ukaishia hapo hapo!... 4. Abdul Jumbe! - Alipotaka serikali tatu!.. Nyerere alimuuliza moja kujumlisha moja ni ngapi?!.. Jumbe akajibu ni mbili!.. Nyerere akamwambia kama ni mbili mbona unataka serikali tatu?!.. Huo ndio ukawa mwisho wa Abdul Jumbe kuwa Rais wa Zanzibar!.. 5. John Samwel Malecela - Ni baada ya taarifa kuzagaa kuwa amebadili dini na jina ili apate kuungwa mkono na nchi za kiislamu kugombea Urais mwaka 1995!.. Nyerere alimwambia wee John wewe umeenda Arabuni mara moja umebadilisha jina sasa unaitwa Jumanne!. Ukienda mara ya pili si utabadilisha kabila?!... Huo ukawa mwisho wa ndoto zake kuwa Rais wa Tz !... 6. Edward Lowassa - Alipokodi ndege binafsi ikampeleka hadi dodoma kwenye vikao vya mchujo wa wagombea Urais kupitia CCM mwaka 1995 alimpa lift JK!.. Nyerere alimuuliza mmekuja na Ndege dodoma pesa mmetoa wapi?!.. Jina la Lowassa likakatwa kabla ya vikao vya mchujo!.. . Natamani Nyerere angekuwepo sasa na mwaka 2015!

Nimeichukua kule, nimeileta huku!

Mbona umeishia Kati bana? Alipohoji na kupinga kuuzwa kwa NBC 1997 watu wakamkatalia, unajua Nyerere alichokifanya 14th October 1999 kule St Thomas London ? Muulize Vicent Nyerere!
 
Wafukuzwe tuuu bila kujali sura, mamluki sababu ya tamaa sio powa kabisa !! Waende huko huko na waone wataishiaje....!! Wapi Lamwai last time nilimuona amekula laizoni chafu kama magari ya mecco na kisigino kimelika upande mmoja ncha kali unaweza katia mkate au nyama !!

Nasikia hata kwenye chibuku na ugimbi anapiga chabo alivyo hoi !!!

Acha uongo we kamanda! Lamwai anafundisha vyuo na anaishi vizuri tu! We akili yaki ndogo kama ya kuku!
 
Tundu lisu hajawahi kufanya kitu cha maana zaidi ya kuropoka tu.
 
Back
Top Bottom