Aibu iende kwa nani juu ya huu upuuzi unaofanyika? Watu makini hawezi kufanya maandamano ya kipuuzi kama haya

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,170
Reaction score
8,622
Yaani mkusanye watu wasiofaa hata kutazamika kwa macho alafu mdanganye kuwa ni waumini wa dini fulani ambayo kataa usikatae ina ushawishi mkubwa hapa nchini basi wewe hako sawa.

Kwanza hii inaleta picha kuwa tayari una chuki na kinyongo juu ya hili dhehebu.

Pili hili dhehebu halikubaliani na mambo mnayoyafanya na halipo tayari hata kukaa kimya kwa maovu yenu.

Ni kama mnatapatapa ili kutumia kila namna ili kulipa kisasi.

Ila kwa maandamano ya kipuuzi kama haya. Ambayo ni wazi kuwa mmefikia hatua ya mwisho kabisa ya kuwa hamna hoja za maana kutetea maovu yenu.

Mnajijua.
 
CCM yote.
Taasisi ya urais.
Idara ya organization na uenezi ya chama(sikumbuki inaitwaje)
Dawati la siasa (TISS)
Polisi.
Machawa binafsi, aina mpya ya ajira wanalipwa na mtu binafsi wa karibu sana na namba moja kwa kodi za watanganyika.
 
Yaani mkusanye watu wasiofaa hata kutazamika kwa macho alafu mdanganye kuwa ni waumini wa dini fulani ambayo kataa usikatae ina ushawishi mkubwa hapa nchini basi wewe hako sawa.

Kwanza hii inaleta picha kuwa tayari una chuki na kinyongo juu ya hili dhehebu.

Pili hili dhehebu halikubaliani na mambo mnayoyafanya na halipo tayari hata kukaa kimya kwa maovu yenu.

Ni kama mnatapatapa ili kutumia kila namna ili kulipa kisasi.

Ila kwa maandamano ya kipuuzi kama haya. Ambayo ni wazi kuwa mmefikia hatua ya mwisho kabisa ya kuwa hamna hoja za maana kutetea maovu yenu.

Mnajijua.
Mnahangaika na hao wakatoliki!!.. ndiyo shida ya kanisa kujiingiza kwenye siasa,tujadili mengine bana!
 
Sasa ugomvi wenu nyinyi kanisa katoliki na waumini wenu serikali inahusikaje?

Kaeni chini mmalizane nao,yani serikali iache kuletea wananchi maendeleo ifanye mchezo wa kuwapanga waumini wagombane na kanisa??

Pambaneni na hali yenu.
 
Yaani mkusanye watu wasiofaa hata kutazamika kwa macho alafu mdanganye kuwa ni waumini wa dini fulani ambayo kataa usikatae ina ushawishi mkubwa hapa nchini basi wewe hako sawa.

Kwanza hii inaleta picha kuwa tayari una chuki na kinyongo juu ya hili dhehebu.

Pili hili dhehebu halikubaliani na mambo mnayoyafanya na halipo tayari hata kukaa kimya kwa maovu yenu.

Ni kama mnatapatapa ili kutumia kila namna ili kulipa kisasi.

Ila kwa maandamano ya kipuuzi kama haya. Ambayo ni wazi kuwa mmefikia hatua ya mwisho kabisa ya kuwa hamna hoja za maana kutetea maovu yenu.

Mnajijua.
.Mwigulu na Samia
 
Shida ni akili kisoda, kwa yanayoendelea nchi hii utajua tu wanaotuongoza ni wana uwezo mdogo mnooo.

Haisaidii kuwaondolea maumivu ya moyo

Wawe na uwezo mdogo au mkubwa still uko chini yao na huna uwezo wa kuwafanya chochote wala lolote zaidi ya kuwa keyboard warrior tuh
 
Ukitaka ujue jinsi walivyo wajinga wanaaacha kujibu hoja za waumini wao wanakimbilia kutupa lawama kwa serikali.

Sasa kosa la serikali ni lipi
Kwa akili yako kisoda unaona pale kuna hoja ya kujibiwa? Tangu lini Katoliki tukawa na ASKOFU Ruwacha? Tangu lini tunawa na Papa wa 16? CCM tumieni akili basi pamoja kwamba Mwenyekiti hana akili!
 
Hao ndiyo waumin wako sasa

Waelimishe wajue unashangaa nini sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom