Unaongelea Kilimanjaro, Mwanza na Mbeya kama mikoa au kama miji?
Naongelea kimaendeleo, Mwanza na Mbeya zipo juu ya Kilimanjaro!
Unaongelea Kilimanjaro, Mwanza na Mbeya kama mikoa au kama miji?
Kwa macho madogo tu ya kawaida kabisa mikoa tajwa hapo juu ndio mikoa tajiri Tanzania, na ndio mikoa yenye wananchi wanaojitambua zaidi hapa Tanzania!
Ni wakati wa Mabadiliko! Walielewa na wakaamua!
Ahsanteni wana DSM! Ahsanteni Kilimanjaro! Ahsanteni Arusha!
Segerea, Ilala na Kigamboni ni uzembe fulani, lakini mlionyesha mpo very serious na mabadiliko! Wakati mwingine dhamira yenu itatimia!
Hizo dharau zenu kwa mikoa mingine ( ambayo kimsingi ndio inayowalisha) ndo zinafanya wananchi hao kuipenda ccm.
Mmekalia ukabila tu.
Wewe lofa kweli,Kilimanjaro kuna uchumi gani?Kılimanjaro ınazidi Mwanza,Mbeya?
Zingekuwa zimeoza wangekuwa omba omba kama weweHumu JF kuna michagga mingi sana na kazi ni kutukana watu wa mikoa mingine wanaodharau fikra za DJ Mbowe na kujisifia.Akili zao zimeoza kama meno yao
Zingekuwa zimeoza wangekuwa omba omba kama wewe
Hivi Kilimanjaro nayo ni 'uchumi mkubwa'? Mwanza, Mbeya, Tanga?
Wewe lofa kweli,Kilimanjaro kuna uchumi gani?Kılimanjaro ınazidi Mwanza,Mbeya?
Soma report za kiuchumi wewe haya mambo ya kiuchumi huwa hatuongei bila takwimu. Kuna report ilitolewa mwaka huu mwanzani ya 'human development index report' ndo uone hiyo level ya maendeleo kilimanjaro na mikoa mingine
Namshukuru Mungu nimezaliwa Arusha ,vinginevyo sasa hivi ningekua nawaza kwenda kuuza kahawa Dar nikitegemea kama kazi ya msingi kwa ufinyu Wa upeo ( wagogo)
Hongera Sana wana Dar es Salaam ,Kilimanjaro, Mbeya