Ahsanteni Kilimanjaro, Dar es Salaam na Arusha!

Ahsanteni Kilimanjaro, Dar es Salaam na Arusha!

Watu tunawachukia wachaga kwa dharau zenu na kashfa, mnajiona mna akili kuliko wengine, ukabila tu umewajaa kama wapemba
 
Big up Dar!!!!
Mkuu big up hata Mwanza, ni basi tuu kwa vile ccm walifungia kampeni zao hapa wakaona ni aibu kupoteza jimbo ndio wizi na ubabe wa hali ya juu ukafanyika. Watueleze Mzee kipipa BWM alikuwa anafanya nini na kwa nini alikuwepo Mwanza kwa siri? Kuna watu tunawalipa pension kwa makosa kabisa.
 
Mkuu nakumbuka nimeandika makala zaidi ya tano ya kuwaasa ukawa juu ya kuwa makini na wizi wa kura nadhani nlianza kiandika tangu mwaka 2013. Lakini kusema kweli chadema hawakutight vizuri na kuwa wakali. Mimi nlistuka zaidi nikikumbuka usanii aliofanya sita kupata kura za kuiputisha katiba. Na lowasa ni mpole hataki kuudhi mtu. Ingekua mimi sentensi yangu ya kwanza ingekua " kikwete wewe ni rafiki yangu lakini tuheshimiane, uliniletea usanii ukakata jina langu ccm nimekuja huku napo unaniletea usani" tuheshimiane... Lowasa angekua mkali kidogo. Kikwete kampandia kichwani mno na akimchekea anamchakachua tena."!!!
Mi nadhani kuna utofauti wa kuiba na kupora.Hapa naona kama ni uporaji.
 
Wananchi WA dar es salaam wengi in wajinga wajinga kupindukia wamekubali kugeuzwa nyumbu safari hii, asiyejua Kilimanjaro na arusha ndio inayoongoza kwa ukabila nani.

Umeshawahi kwenda huko ukabaguliwa acha kukurupuka wewe
 
Hizo dharau zenu kwa mikoa mingine ( ambayo kimsingi ndio inayowalisha) ndo zinafanya wananchi hao kuipenda ccm.

mikoa ipi inatulisha kama maji tunayo ardhi nzur ya kilimo tunayo mbuga za wanyama hifadhi za taifa madini pekee duniani
we unahitaji nini cha ziada walionacho wataongezewa hata biblia imesema wazi.
Nafurahi kuzaliwa Arusha sasa wewe wa Mirembe dodoma utatuambia nini?
 
Mikoa mingi yenye umaskini uliokithiri CCM wameshinda kwa kishindo,hawajitambui kabisa acha waendelee kulizwa na wazee wa 10% for the next 5 years.

Hivi kuna mtu anamzidi Lowassa kwa 10 % nchi hii??? Niambie. Unajuwa Kuwa Lowasa hata kwenye ESCROW alikuwemo pesa zake alibebewa na Chenge? Kalagabaho.
 
Mikoa mingi yenye umaskini uliokithiri CCM wameshinda kwa kishindo,hawajitambui kabisa acha waendelee kulizwa na wazee wa 10% for the next 5 years.

We mnyarwanda huna haki ya ku comment chochote nyambafu mkubwa, Uchochezi peleka kwenu.
 
Hizo dharau zenu kwa mikoa mingine ( ambayo kimsingi ndio inayowalisha) ndo zinafanya wananchi hao kuipenda ccm.

Hivi ulienda shule? Na kama ulienda shule ulienda kufanya nin? Hiyo mikoa inayotulisha ndio ilitakiwa iwe juu kushinda hiyo iliyotajwa sasa why bado ina umasikini licha ya kulisha wengine? Tafakari.
 
Acha waipende watukomae sisi wa dsm, kilimanjaro na arusha! Statistics za kiuchumi zinaonyesha uchumi mkubwa upo kaskazini na dsm! Sasa nyie huko endeleeni kutukomoa. Sawa eeehhhh!

tupe chanzo za izoo takwimu basi ....why izo takwimu uwe nazo peke akoo acha upumbavu na ulofa ww
 
U might say so.....but look at it deeply, then u will realize what I'm saying is very significant.......mara nyingi mmekuwa na maneno ya kejeli kwa watanzania masikini.

Ni nani anasababisha umasikini? Probably this kind of thinking capacity is suppose to be remoulded otherwise we have a long way to Go. Speaking of abudant resources we're endowed with, I'm about to cry when i look at Rwanda, Ethiopia and Kenya.
 
Mbona Lindi huwapi hongera? Wamewapa wabunge 4 wa upinzani kama Mbeya tu...!!
Mkuu achana nao, kipindi kilichopita Kigoma ilitoa wabunge wa upinzani wengi, lakini washenzi hawa hakuwa kuipa credit lakini walikuwa wanajiona wao ndo wapinzani
 
Back
Top Bottom