Ahsanteni Kilimanjaro, Dar es Salaam na Arusha!

U might say so.....but look at it deeply, then u will realize what I'm saying is very significant.......mara nyingi mmekuwa na maneno ya kejeli kwa watanzania masikini.

Afrika tz in particular tunakautamadun flan kak'nafk sana

Huwa hatuupend ukweli..hapo kakejel nn zaid ya kusema ukweli..

Ningekua na uwezo nngeamuru2 mikoa ya kaskazin especially kilimanjaro na arusha wajitenge2 wawe na nchi yao tunawaLostisha sana! huku kwngne manyumbu wengi

Na mtaaishia kulalamikia ukanda2 ila ukweli endeleeni kuuficha

Sitokei kaskazin..
 
Si maneno ya kejeli......Ndio Ukweli......

Hebu fikiria....mkoa unaongoza kwa kutoa omba omba tanzania (Dodoma) ndio unaikubali CCM kwa kishindo !. Huo ni uongo ? Ni ukweli hata kama ni mchungu !

Wote wengi wanaojitambua (na hii inathibitishwa na tafiti) hawaikubali CCM....na ndio maana hata vijana wa vyuo wakawekewa mizengwe kwa sababu inajulikana wanajitambua na kwa namna yeyote wengi wao hawawezi kuikubali CCM...

Mimi binafsi kuna watu wengi tu huwa ninawasaidia......baadhi wakiwa ndugu wa mbali na nimeshaamua, nikigundua huyo ninayemsaidia/au ninayetaka kumsaidia anaisupport CCM nitakata msaada wangu mara moja !.

Ajabu sana..... mimi nanayejiweza.....ambaye hata kama maji hayapo nitayaleta kwa gari kubwa na kujaza matanki yangu na hata kama umeme hamna nitawasha generator na hata nikiumwa nina uwezo wa kujitibu kwenye hospitali nzuri, watoto wangu wanasoma kwenye shule zilizokamilika tena wanapelekwa na usafiri binafsi kama mabosi.......niichukie CCM, halafu huyo mtu ninayemsaidia ambaye basically matatizo hayo ninayomsaidia kwa kiwango kikubwa yamesababishwa na CCM.....eti niendelee kumsaidia !. Akasaidiwe na CCM !

Umeandika madini matupu kabisa. Wewe mwenye ka uwezo kidogo una chuki na CCM asiye na uwezo kabisa ndio anaipenda mwenyewe, amechagua mwenyewe, halafu eti anakuimbia wataisoma namba! yaani ni zaidi ya ujuha kabisa!
 
Tunaposema tatizo ni elimu tuliona mbali sana! Kaa kimya kuficha upumbavu na ujinga wako!

Mpumbavu ni yule anayesema eti Kilimanjaro ina uchumi mkubwa kuliko Mwanza na Mbeya. Hata hadhi ya jiji haijafikia...
 
UKAWA inashinda tar.25 mapema sana. Unajua nyie ni wapumbavu sana. Kuna maeneo mengi mlisema ni ngome ya UKAWA, huko Mbeya mmeangukia pua, I thought ni ngome ya ukawa...
Kaka Siamini hiki ninachokiona.. Nimekua kama nipo ndotoni.. Hata humu Sikh hi I naingia kwa Huzuni na masikitiko
 
Si maneno ya kejeli......Ndio Ukweli......

Hebu fikiria....mkoa unaongoza kwa kutoa omba omba tanzania (Dodoma) ndio unaikubali CCM kwa kishindo !. Huo ni uongo ? Ni ukweli hata kama ni mchungu !

Wote wengi wanaojitambua (na hii inathibitishwa na tafiti) hawaikubali CCM....na ndio maana hata vijana wa vyuo wakawekewa mizengwe kwa sababu inajulikana wanajitambua na kwa namna yeyote wengi wao hawawezi kuikubali CCM...

Mimi binafsi kuna watu wengi tu huwa ninawasaidia......baadhi wakiwa ndugu wa mbali na nimeshaamua, nikigundua huyo ninayemsaidia/au ninayetaka kumsaidia anaisupport CCM nitakata msaada wangu mara moja !.

Ajabu sana..... mimi nanayejiweza.....ambaye hata kama maji hayapo nitayaleta kwa gari kubwa na kujaza matanki yangu na hata kama umeme hamna nitawasha generator na hata nikiumwa nina uwezo wa kujitibu kwenye hospitali nzuri, watoto wangu wanasoma kwenye shule zilizokamilika tena wanapelekwa na usafiri binafsi kama mabosi.......niichukie CCM, halafu huyo mtu ninayemsaidia ambaye basically matatizo hayo ninayomsaidia kwa kiwango kikubwa yamesababishwa na CCM.....eti niendelee kumsaidia !. Akasaidiwe na CCM !

We ni masikini tuuuu..
Tena wa kutupa.!
Kwanza nina wasiwasi apo utakua Internet Cafe...
Wanaojiweza huwa hawalalamiki nyuma ya keyboad.
CCM tulidhamilia kuitosa, shida ni UKAWA kukaribisha Fisadi ndo kaaribu kila kitu, mbona ukweli uko wazi..!!
 
Sio mzima ww TheDealer kwahio Iringa na Mbeya umetudharau? Mijitu kama wewe ndio inaleta ukanda TZ.
 
Last edited by a moderator:
Wewe -----kilaza hayo matokeo ambayo umeona ukawa imeangukia pua yako wapi.? Haya yanayotangazwa na nec ukijumlisha yanazidi asilimia 100. Wapumbavu ni watu wanaoiba lakini wanashidwa hata kutumia akili kuiba.
Dr. Mooo...acha mihemko ya kike, dawa inakuingia hii. Mbeya ni ngome ya upinzani, matokeo vipi huko? Kila chama kilikuwa na wakala, vipi imekuwaje tena mawakala wa upinzani wakawa wa chama tawala? Huo ndio upumbavu wenyewe.
 
Aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
Asilimia 75 ya watanzania ni masikini na wakulima na wafanyakazi.

Hawako tayari kuona mafisadi wakiendelea kuwanyonya

CCM mnapenda sana kujisifia kwa wingi wa maskini wa nchi hii. Ndo sifa kuu ya CCM
 
Si maneno ya kejeli......Ndio Ukweli......

Hebu fikiria....mkoa unaongoza kwa kutoa omba omba tanzania (Dodoma) ndio unaikubali CCM kwa kishindo !. Huo ni uongo ? Ni ukweli hata kama ni mchungu !

Wote wengi wanaojitambua (na hii inathibitishwa na tafiti) hawaikubali CCM....na ndio maana hata vijana wa vyuo wakawekewa mizengwe kwa sababu inajulikana wanajitambua na kwa namna yeyote wengi wao hawawezi kuikubali CCM...

Mimi binafsi kuna watu wengi tu huwa ninawasaidia......baadhi wakiwa ndugu wa mbali na nimeshaamua, nikigundua huyo ninayemsaidia/au ninayetaka kumsaidia anaisupport CCM nitakata msaada wangu mara moja !.

Ajabu sana..... mimi nanayejiweza.....ambaye hata kama maji hayapo nitayaleta kwa gari kubwa na kujaza matanki yangu na hata kama umeme hamna nitawasha generator na hata nikiumwa nina uwezo wa kujitibu kwenye hospitali nzuri, watoto wangu wanasoma kwenye shule zilizokamilika tena wanapelekwa na usafiri binafsi kama mabosi.......niichukie CCM, halafu huyo mtu ninayemsaidia ambaye basically matatizo hayo ninayomsaidia kwa kiwango kikubwa yamesababishwa na CCM.....eti niendelee kumsaidia !. Akasaidiwe na CCM !

Comrade hv unafikiriaje?! U really think critical I wish the rest of we join the league and help others understand what the future holds for all. Watu hawaelewi nn wanaitaji, ama wapi wanataka kufika.
 
Si maneno ya kejeli......Ndio Ukweli......

Hebu fikiria....mkoa unaongoza kwa kutoa omba omba tanzania (Dodoma) ndio unaikubali CCM kwa kishindo !. Huo ni uongo ? Ni ukweli hata kama ni mchungu !

Wote wengi wanaojitambua (na hii inathibitishwa na tafiti) hawaikubali CCM....na ndio maana hata vijana wa vyuo wakawekewa mizengwe kwa sababu inajulikana wanajitambua na kwa namna yeyote wengi wao hawawezi kuikubali CCM...

Mimi binafsi kuna watu wengi tu huwa ninawasaidia......baadhi wakiwa ndugu wa mbali na nimeshaamua, nikigundua huyo ninayemsaidia/au ninayetaka kumsaidia anaisupport CCM nitakata msaada wangu mara moja !.

Ajabu sana..... mimi nanayejiweza.....ambaye hata kama maji hayapo nitayaleta kwa gari kubwa na kujaza matanki yangu na hata kama umeme hamna nitawasha generator na hata nikiumwa nina uwezo wa kujitibu kwenye hospitali nzuri, watoto wangu wanasoma kwenye shule zilizokamilika tena wanapelekwa na usafiri binafsi kama mabosi.......niichukie CCM, halafu huyo mtu ninayemsaidia ambaye basically matatizo hayo ninayomsaidia kwa kiwango kikubwa yamesababishwa na CCM.....eti niendelee kumsaidia !. Akasaidiwe na CCM !

Naomba nikutunukie shahada ya Plato na Socrates.
 
Sasa iwe marufuku Wabunge wa upinzani (Ukawa) ambao ni dhahiri sasa watakuwa wamoja zaidi na wenye nguvu kubwa kuwasemea wananchi kuhusu maji, elimu, miundombinu nk au hata kama Watapigwa,kubakwa, kunyanyaswa nk nk kama ilivyotokea kule mikoa ya Kusini.
Iwe mwiko kabisa kuwatetea wachimbaji wadogo wadogo wa Geita na kule Kahama, waacheni wasemewe na wabunge wao walio waamini. Acheni Kiherehere maana wakati mwingine mnatumia muda mwingi kuwasemea watu waliokosa huduma bora za Zahanati na maji mahali kama Mkoa wa Dodoma wakati wakina Lusinde na Badwel wapo hawashughulikii bali wao wapo kuwatukana nyie na leo wapiga kura wao hawawataki. Kiherehere chenu kinakera, mpende akupendae, asiyekupenda achana nae.
Yapo maeneo kama Nyamagana, yanafahamika kabisa kuwa dola imeingiza nguvu kubwa kubaka demokrasia, lakini yapo maeneo ambayo hata tume haikuwa na sababu za kuleta ujanja kwani ni "ccm mbele kwa mbele". Ukiona mtu anampigia Lusinde kura huyo huna hata haja ya kumjadili ni kumuacha na mambo yake yote.
 
Kaka Siamini hiki ninachokiona.. Nimekua kama nipo ndotoni.. Hata humu Sikh hi I naingia kwa Huzuni na masikitiko
Pole kiongozi, kuna mapungufu mengi sana. Mengine yamechangiwa na UKAWA, lakini pia mengine ni mchezo mchafu wa serikali. Sasa mna majimbo ya Dar, Arusha na K'njaro. Arusha tayari Monduli,Loliondo, Arusha mjini, Arumeru Magharibi...na kote mmechukua kwa kura nyingi. K'njaro tayari Siha na Mwanga...Siha mmeongoza japo kidogo, Mwanga imeenda CCM....ngoja tuone leo.
 
Mikoa mingi yenye umaskini uliokithiri CCM wameshinda kwa kishindo,hawajitambui kabisa acha waendelee kulizwa na wazee wa 10% for the next 5 years.

Mikoa mingine inajitambua kuliko unavyofikiria..chadema ilikuwa tegemeo la hao wanyonge ila walivunja imani ya wananchi .chadema ilijipambanua kwamba inapinga ufisadi ila kwa walichokifanya watanzania wameona bora hawa ambao wanaweza kubadilika kuliko fisi waliovaa ngozi za kondoo.
 
Unakumbuka aliyosema Msigwa? Atakayemchagua Lowassa akapimwe akili. Namwomba sana Msigwa atume madaktari bingwa wa magonjwa ya akili haraka katika mikoa ya Dsm, Arusha na K'njaro. Kwa maelfu yao wamemchagua Lowassa, hii inadhihirisha kuna wagonjwa wengi sana wa akili, hawajitambui kabisa. Wengi katika mikoa utafikiri ni wanywa viroba. Mikoa mliomkataa Lowassa hongereni sana, mnajitambua. Msigwa fanya haraka, wasaidie wapimwe akili, wasimamie watumie dawa kikamilifu. Ni amri.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Mkuu umesema ukweli unajua cc binadamu hatuna kawaida ya kukubali ukweli. Mimi mwenyewe ni mtu wa Dodoma ambako CCM ndo ngome yao lkn kwakweli umasikini na ujinga vipo kwa asilimia nyingi zaidi. Kujengwa kwa UDOM kumeibadilisha Dodoma mjini kabisa na siasa zake. Unaweza kuona namna ambavyo kuwepo kwa wasomi wa UDOM kumesaidia kuibua ushindani ktk siasa za Dodoma mjini. The rest of places of Dodoma generally still poor and ignorant that's why CCM still dorminating.
Tunapo ongea ukwel tuseme bila kujali itikadi na tunaposema ukwel hatumaanishi tunadharau watu wa maeneo ya vijijini ila ndo ukwel wenyewe.
 
Washamba waliokuwa wanapiga kelele humu wanaume wa Dar "urojo",wamehongwa boksa za mitumba wasitembee Masaburi njee wamesaliti mabadiliko!
Nyambaff..
Wanaume wako Dar,K'njaro na Arusha tu!
Period!
 
Back
Top Bottom