Ahsanteni Kilimanjaro, Dar es Salaam na Arusha!

Ahsanteni Kilimanjaro, Dar es Salaam na Arusha!

Kuiba sio hisia, ni kweli wameiba na kuiba. Lakini nani ambaye hajui CCM siku zote wanaiba?????. Kama hilo linajulikana ni kuwatait vibaya sana kama walivyofanya wana dsm, klm na chuga! Ni wepesi sana!
Mkuu nakumbuka nimeandika makala zaidi ya tano ya kuwaasa ukawa juu ya kuwa makini na wizi wa kura nadhani nlianza kiandika tangu mwaka 2013. Lakini kusema kweli chadema hawakutight vizuri na kuwa wakali. Mimi nlistuka zaidi nikikumbuka usanii aliofanya sita kupata kura za kuiputisha katiba. Na lowasa ni mpole hataki kuudhi mtu. Ingekua mimi sentensi yangu ya kwanza ingekua " kikwete wewe ni rafiki yangu lakini tuheshimiane, uliniletea usanii ukakata jina langu ccm nimekuja huku napo unaniletea usani" tuheshimiane... Lowasa angekua mkali kidogo. Kikwete kampandia kichwani mno na akimchekea anamchakachua tena."!!!
 
Hizo dharau zenu kwa mikoa mingine ( ambayo kimsingi ndio inayowalisha) ndo zinafanya wananchi hao kuipenda ccm.

Hatuli bure, tunanunua.., kwa maana nyingine tunawalisha pia....
 
Mikoa mingi yenye umaskini uliokithiri CCM wameshinda kwa kishindo,hawajitambui kabisa acha waendelee kulizwa na wazee wa 10% for the next 5 years.

Lisikie ili linyumbu!!
iv we unayekaa foleni masaa matatu au kununua maji ya visima ndo tajiri!!?
Hacha dharau ndugu angu.!
Kubali kushindwa.
Ukweli ni kua watu weng wa Dsm, sana sana vijana wanashawishika mapema sana kwa kupewa pesa, vilevi, na ahadi kemkem.
Siwezi kuwalaumu, ni kwasababu maisha ya DSM ni magumu sana na watu wenye kipato cha chini ni wengi sana kuliko wenye kipato cha kati na kipato cha juu,.
 
Haisaidii kujua naishi wapi, pata ukweli huo, nimezaliwa na nimekulia dar es salaam sina tongotongo hats kidogo

Sasa mbona hujasaidia ktk harakati za kubakisha majimbo yenu mkoa wa DSM.tena mshukuru mungu tungebeba yote ndio akili iwakae vizuri.ushindi wa wabunge wa dsm ni pigo kubwa sana kwa ccm.halafu tongotongo unazo ndio maana huoni mbulula wewe
 
UKAWA inashinda tar.25 mapema sana. Unajua nyie ni wapumbavu sana. Kuna maeneo mengi mlisema ni ngome ya UKAWA, huko Mbeya mmeangukia pua, I thought ni ngome ya ukawa...
Wewe -----kilaza hayo matokeo ambayo umeona ukawa imeangukia pua yako wapi.? Haya yanayotangazwa na nec ukijumlisha yanazidi asilimia 100. Wapumbavu ni watu wanaoiba lakini wanashidwa hata kutumia akili kuiba.
 
Wananchi WA dar es salaam wengi in wajinga wajinga kupindukia wamekubali kugeuzwa nyumbu safari hii, asiyejua Kilimanjaro na arusha ndio inayoongoza kwa ukabila nani.

Don't preach hate cause not all men can hold down their grief just preach peace even a deaf ear will hear we are Tanzanians comrades let's be together for our togetherness is what makes us strong, even haters at the distant want to see us how we can hold on. But anyway I love the way all of we the way we are thinking but its important to think out of the box. We are and we shall always be we.
 
Sasa mbona hujasaidia ktk harakati za kubakisha majimbo yenu mkoa wa DSM.tena mshukuru mungu tungebeba yote ndio akili iwakae vizuri.ushindi wa wabunge wa dsm ni pigo kubwa sana kwa ccm.halafu tongotongo unazo ndio maana huoni mbulula wewe

Hasira za kushindwa in mbaya, hats mkibeba wabunge wrote dar kupigwa kuko pale pale
 
Dar es salaam ndioinayoongoza kwa Human Development index ikifuata KILIMANJARO then Arusha
 
Mikoa mingi yenye umaskini uliokithiri CCM wameshinda kwa kishindo,hawajitambui kabisa acha waendelee kulizwa na wazee wa 10% for the next 5 years.

Vipi Mwanza na Mbeya?
 
Mkuu nakumbuka nimeandika makala zaidi ya tano ya kuwaasa ukawa juu ya kuwa makini na wizi wa kura nadhani nlianza kiandika tangu mwaka 2013. Lakini kusema kweli chadema hawakutight vizuri na kuwa wakali. Mimi nlistuka zaidi nikikumbuka usanii aliofanya sita kupata kura za kuiputisha katiba. Na lowasa ni mpole hataki kuudhi mtu. Ingekua mimi sentensi yangu ya kwanza ingekua " kikwete wewe ni rafiki yangu lakini tuheshimiane, uliniletea usanii ukakata jina langu ccm nimekuja huku napo unaniletea usani" tuheshimiane... Lowasa angekua mkali kidogo. Kikwete kampandia kichwani mno na akimchekea anamchakachua tena."!!!

Napenda kusikia kauli kama hizo! Adui yako usipompiga wewe basi yeye atakumaliza. Na ndivyo ilivyotokea sana!
 
Acha waipende watukomae sisi wa dsm, kilimanjaro na arusha! Statistics za kiuchumi zinaonyesha uchumi mkubwa upo kaskazini na dsm! Sasa nyie huko endeleeni kutukomoa. Sawa eeehhhh!

Hivi Kilimanjaro nayo ni 'uchumi mkubwa'? Mwanza, Mbeya, Tanga?
 
Wewe -----kilaza hayo matokeo ambayo umeona ukawa imeangukia pua yako wapi.? Haya yanayotangazwa na nec ukijumlisha yanazidi asilimia 100. Wapumbavu ni watu wanaoiba lakini wanashidwa hata kutumia akili kuiba.

Kuna msemo unasema 'evil is never free from mistakes' ndio maana wanaiba lakini bado wanaacha loopholes za querry!
 
Si maneno ya kejeli......Ndio Ukweli......

Hebu fikiria....mkoa unaongoza kwa kutoa omba omba tanzania (Dodoma) ndio unaikubali CCM kwa kishindo !. Huo ni uongo ? Ni ukweli hata kama ni mchungu !

Wote wengi wanaojitambua (na hii inathibitishwa na tafiti) hawaikubali CCM....na ndio maana hata vijana wa vyuo wakawekewa mizengwe kwa sababu inajulikana wanajitambua na kwa namna yeyote wengi wao hawawezi kuikubali CCM...

Mimi binafsi kuna watu wengi tu huwa ninawasaidia......baadhi wakiwa ndugu wa mbali na nimeshaamua, nikigundua huyo ninayemsaidia/au ninayetaka kumsaidia anaisupport CCM nitakata msaada wangu mara moja !.

Ajabu sana..... mimi nanayejiweza.....ambaye hata kama maji hayapo nitayaleta kwa gari kubwa na kujaza matanki yangu na hata kama umeme hamna nitawasha generator na hata nikiumwa nina uwezo wa kujitibu kwenye hospitali nzuri, watoto wangu wanasoma kwenye shule zilizokamilika tena wanapelekwa na usafiri binafsi kama mabosi.......niichukie CCM, halafu huyo mtu ninayemsaidia ambaye basically matatizo hayo ninayomsaidia kwa kiwango kikubwa yamesababishwa na CCM.....eti niendelee kumsaidia !. Akasaidiwe na CCM !
 
Sasa mbona hujasaidia ktk harakati za kubakisha majimbo yenu mkoa wa DSM.tena mshukuru mungu tungebeba yote ndio akili iwakae vizuri.ushindi wa wabunge wa dsm ni pigo kubwa sana kwa ccm.halafu tongotongo unazo ndio maana huoni mbulula wewe

Hayo majimbo ya Dar ndio yamewapa nchi?
 
Napenda kusikia kauli kama hizo! Adui yako usipompiga wewe basi yeye atakumaliza. Na ndivyo ilivyotokea sana!

Hacha ushabiki wa kinaa...
Ivi kweli mgekua mmeibiwa, akna Lowasa, Mbowe, Sumaye na Duni wangekua kimya.
Au unataka kunambia kua External Observers wamesinzia.
kubali kushindwa we Nyumbu.
Yale yalikua maigizo ya Lowassa ktk kampeini., ukweli ndo huu katika masanduku ya kura.
 
Hizo dharau zenu kwa mikoa mingine ( ambayo kimsingi ndio inayowalisha) ndo zinafanya wananchi hao kuipenda ccm.

Acha tu waipende ccm lakini ukweli ni hiyo mikoa kama mtwara wananchi wake hawako timamu kichwani.
 
Acha waipende watukomae sisi wa dsm, kilimanjaro na arusha! Statistics za kiuchumi zinaonyesha uchumi mkubwa upo kaskazini na dsm! Sasa nyie huko endeleeni kutukomoa. Sawa eeehhhh!

Wewe lofa kweli,Kilimanjaro kuna uchumi gani?Kılimanjaro ınazidi Mwanza,Mbeya?
 
Back
Top Bottom