Ahsanteni Kilimanjaro, Dar es Salaam na Arusha!

Ahsanteni Kilimanjaro, Dar es Salaam na Arusha!

Mkuu big up hata Mwanza, ni basi tuu kwa vile ccm walifungia kampeni zao hapa wakaona ni aibu kupoteza jimbo ndio wizi na ubabe wa hali ya juu ukafanyika. Watueleze Mzee kipipa BWM alikuwa anafanya nini na kwa nini alikuwepo Mwanza kwa siri? Kuna watu tunawalipa pension kwa makosa kabisa.

acha kuwashobokea maku wa kaskazini ao mwanza tunajielewa na hatuyumbishwiii na mashoga ao kiuchumi wanafuata kwa mbali sana maendeleo hawatufikii wakawatishee watuu wa mikoa mingine lkn sio watu wa mwanza
 
UKAWA inashinda tar.25 mapema sana. Unajua nyie ni wapumbavu sana. Kuna maeneo mengi mlisema ni ngome ya UKAWA, huko Mbeya mmeangukia pua, I thought ni ngome ya ukawa...

Walijiaminisha sana
Kupita kiasi sasa wataishia kulalamika wameibiwa kura kumbe watu wamewakata sawasawa.
 
Mkoa Wa Mara CHADEMA wamepata majimbo manne 4 kati ya 10,nasi wapenda mabadiliko tupewe pongezi.
 
tupe chanzo za izoo takwimu basi ....why izo takwimu uwe nazo peke akoo acha upumbavu na ulofa ww

Barabara nzuri Arusha moshi ,na dar, shule nyingi Arusha Kilimanjaro na dar ,maji,umeme ,hospitali za kitosha, hata life expectancy, Milo mitatu ,wasomi wengi, wenye nyazfa kubwa kubwa serikali?i........etc
 
Huu ujinga wenu wa kudharau maamuzi ya wapiga kura ndo utawa cost milele
 
Dr. Mooo...acha mihemko ya kike, dawa inakuingia hii. Mbeya ni ngome ya upinzani, matokeo vipi huko? Kila chama kilikuwa na wakala, vipi imekuwaje tena mawakala wa upinzani wakawa wa chama tawala? Huo ndio upumbavu wenyewe.
Uanamke ni kuacha kusimamia haki za wananchi wachini na kushangilia watu ka akina makamba, wema na wajinga wajinga wengine. Huo ndo uanamke.!
 
Barabara nzuri Arusha moshi ,na dar, shule nyingi Arusha Kilimanjaro na dar ,maji,umeme ,hospitali za kitosha, hata life expectancy, Milo mitatu ,wasomi wengi, wenye nyazfa kubwa kubwa serikali?i........etc
Umesahau wanywa viroba wengi moshi + arusha. I'm from there huwezi kunidanganya.
 
Subirini Magufuri kesho anamaliza kazi, Tanzania inaongea.

kenge usiyejitambua..... utabaki kwenye umaskini maisha yako yote, na familia za wachache wakineemeka kwa ujinga wenu.. na wataendelea kuwachagulia viongozi maisha yenu yote, ili kulinda maslahi yao, kwa vile wewe ni pungwani usiyejitambua, utaendela kuwashabikia hivyo hivyo maisha yako yote.... labda kitukuu chako ndio kitakuja kukuamsha usingizini....
 
Pole kiongozi, kuna mapungufu mengi sana. Mengine yamechangiwa na UKAWA, lakini pia mengine ni mchezo mchafu wa serikali. Sasa mna majimbo ya Dar, Arusha na K'njaro. Arusha tayari Monduli,Loliondo, Arusha mjini, Arumeru Magharibi...na kote mmechukua kwa kura nyingi. K'njaro tayari Siha na Mwanga...Siha mmeongoza japo kidogo, Mwanga imeenda CCM....ngoja tuone leo.
Tumepigwa mbali sana jamaa keshachukua nchi
 
Ndio muelewe kwanini Lowassa alipanda daladala Dar na wamemwelewa sijui asingezuiliwa ingekuwaje
 
Mkoa Wa Mara CHADEMA wamepata majimbo manne 4 kati ya 10,nasi wapenda mabadiliko tupewe pongezi.

Pongezi kwa Mbowe kumzimisha Chacha Wangwe. Maana watu wa huko shobo sana hawajielewi.
 
Mods,mnakuwa wapi hadi nyuzi zenye harufu ya wazi ya ubaguzi zinasurvive this way? Ndani Uzi huu Kuna ukabila na ukanda vimejaa lakini mnasupport tu.
 
Wewe lofa kweli,Kilimanjaro kuna uchumi gani?Kılimanjaro ınazidi Mwanza,Mbeya?

Hata hiyo arusha kamwe huwezi kuipanga mstari mmoja na mwanza! Uzi umejaa ubaguzi tu na upungufu wa utimamu
 
Back
Top Bottom