Yale yale ya akili za kiCCM !
Kwamba kwa vitu vidogo nilivyovitaja hapo eti tayari unaona kama vile nimesema mimi ni tajiri na hivyo ukaamua kusema kinyume chake !. Pole sana !
By the way, wapo watu wengi sana ambao wanaichukia CCM kwa nguvu zote na wana hela nyingi na wanajiweza.....at least hata kama unaona mimi sina uwezo wa kununua hata smartphone, angalau basi ukubali kwamba kuna watu wengine wengi ambao wanajimudu wakiwa na uwezo wa kupata matibabu bora (ikibidi hata nje ya nchi na kwa fedha zao), kusomesha watoto wao kwenye shule nzuri (ikibidi hata nje ya nchi na kwa fedha zao) na kumudu vizuri sana maisha yao, lakini bado wanaichukia CCM......
Hivyo hata kama wewe huniamini mimi, basi assume hiyo message ina-represent mmoja wa hao watu !

We ni masikini tuuuu..
Tena wa kutupa.!
Kwanza nina wasiwasi apo utakua Internet Cafe...
Wanaojiweza huwa hawalalamiki nyuma ya keyboad.
CCM tulidhamilia kuitosa, shida ni UKAWA kukaribisha Fisadi ndo kaaribu kila kitu, mbona ukweli uko wazi..!!