Ahsanteni Kilimanjaro, Dar es Salaam na Arusha!

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,132
Kwa macho madogo tu ya kawaida kabisa mikoa tajwa hapo juu ndio mikoa tajiri Tanzania, na ndio mikoa yenye wananchi wanaojitambua zaidi hapa Tanzania!

Ni wakati wa Mabadiliko! Walielewa na wakaamua!

Ahsanteni wana DSM! Ahsanteni Kilimanjaro! Ahsanteni Arusha!

Segerea, Ilala na Kigamboni ni uzembe fulani, lakini mlionyesha mpo very serious na mabadiliko! Wakati mwingine dhamira yenu itatimia!
 
Mkuu Kigamboni, tutalirejesha muda si mrefu. Sheria ya uchaguzi ilipindishwa kwa kurudia kuhesabu kura tofauti na kituoni zilipopigiwa.
 
Mikoa mingi yenye umaskini uliokithiri CCM wameshinda kwa kishindo,hawajitambui kabisa acha waendelee kulizwa na wazee wa 10% for the next 5 years.

Aliyeshiba hamjui mwenye njaa.
Asilimia 75 ya watanzania ni masikini na wakulima na wafanyakazi.

Hawako tayari kuona mafisadi wakiendelea kuwanyonya
 
Hizo dharau zenu kwa mikoa mingine ( ambayo kimsingi ndio inayowalisha) ndo zinafanya wananchi hao kuipenda ccm.
 
mkuu tanzania mikoa inayojtambua ni michache sana hata hivyo ndani ya mikoa ya wasiojitambua wapo wanaojitambua
 
Kwa macho madogo tu ya kawaida kabisa mikoa tajwa hapo juu ndio mikoa tajiri Tanzania, na ndio mikoa yenye wananchi wanaojitambua zaidi hapa Tanzania!

Ni wakati wa Mabadiliko! Walielewa na wakaamua!

Ahsanteni wana DSM! Ahsanteni Kilimanjaro! Ahsanteni Arusha!

Segerea, Ilala na Kigamboni ni uzembe fulani, lakini mlionyesha mpo very serious na mabadiliko! Wakati mwingine dhamira yenu itatimia!

Wananchi WA dar es salaam wengi in wajinga wajinga kupindukia wamekubali kugeuzwa nyumbu safari hii, asiyejua Kilimanjaro na arusha ndio inayoongoza kwa ukabila nani.
 
What a cheap point !!

U might say so.....but look at it deeply, then u will realize what I'm saying is very significant.......mara nyingi mmekuwa na maneno ya kejeli kwa watanzania masikini.
 
Dodoma, singida, shinyanga, ruvuma kuna shida kubwa mno. Ila pia ni wizi tu siamini kama ccm imeshinda huku. Maana asilimia ukijumlisha zinakuja zaidi ya100
 
Kwa macho madogo tu ya kawaida kabisa mikoa tajwa hapo juu ndio mikoa tajiri Tanzania, na ndio mikoa yenye wananchi wanaojitambua zaidi hapa Tanzania!

Ni wakati wa Mabadiliko! Walielewa na wakaamua!

Ahsanteni wana DSM! Ahsanteni Kilimanjaro! Ahsanteni Arusha!

Segerea, Ilala na Kigamboni ni uzembe fulani, lakini mlionyesha mpo very serious na mabadiliko! Wakati mwingine dhamira yenu itatimia!

Hatimae mmekubali hazitatosha safari hii hahahahaha
 
Hizo dharau zenu kwa mikoa mingine ( ambayo kimsingi ndio inayowalisha) ndo zinafanya wananchi hao kuipenda ccm.
Acha waipende watukomae sisi wa dsm, kilimanjaro na arusha! Statistics za kiuchumi zinaonyesha uchumi mkubwa upo kaskazini na dsm! Sasa nyie huko endeleeni kutukomoa. Sawa eeehhhh!
 
Dodoma, singida, shinyanga, ruvuma kuna shida kubwa mno. Ila pia ni wizi tu siamini kama ccm imeshinda huku. Maana asilimia ukijumlisha zinakuja zaidi ya100

Kuiba sio hisia, ni kweli wameiba na kuiba. Lakini nani ambaye hajui CCM siku zote wanaiba?????. Kama hilo linajulikana ni kuwatait vibaya sana kama walivyofanya wana dsm, klm na chuga! Ni wepesi sana!
 
Dodoma, singida, shinyanga, ruvuma kuna shida kubwa mno. Ila pia ni wizi tu siamini kama ccm imeshinda huku. Maana asilimia ukijumlisha zinakuja zaidi ya100
UKAWA inashinda tar.25 mapema sana. Unajua nyie ni wapumbavu sana. Kuna maeneo mengi mlisema ni ngome ya UKAWA, huko Mbeya mmeangukia pua, I thought ni ngome ya ukawa...
 
Duh, eti anayelishwa ni tajiri kuliko yule anayemlisha !

Vipi chama chenu cha ACT kilichokuwa cha pili (baada ya CCM) kusimamisha wagombea wengi wa ubunge.....naona karibia kila mgombea wenu wa ubunge anapata around 400 votes.....tehe tehe teh......

Mlifikiri watu hawatawashitukia kwamba nyie ni sehemu ya magamba ? Ona sasa unaonyesha rangi zako halisi kwamba wewe ni gamba na wala si mpinzani !

Back
Top Bottom