Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

na ww ni rasta mchafu unayehangaika na vyama mr prezida baki ccm ndo chama
 
kundi la nyoka wenye makengeza linaendelea kuonekana na linaongezeka!!!
 
Tuko wengi
Wapi napata kadi ya act jaman fasta ofa yangu laki 1
sijawahi kuwa cdm ila act ntajiunga, ukipata taarifa sahihi wapi twaweza jiunga na chama niambie, mi nipo dar
 
You don't haffi dread to be
rasta
This is not a dreadlocks thing
Devine conception of the heart
 
Kama ni kweli basi huyo msanii ni mjanja, anajua atapiga pesa nzuri kwani atapata dili la kuzunguka nchi nzima kumpa Promo Zitto na ACT.
Soon kutatokea mgongano wa kimaslahi na wasanii wa Lekadutigite wanaotoka Kigoma.
hapana mkuu huyu lengo lake ni kugombea ubunge moro mjini sasa kwa cdm asingepata nafasi hiyo ndio maana kaja huku, ila ccm atashinda kiulaini kwani ukawa na act watagawana kura za wapenda maendeleo
 
Teh teh teh ....

Wapinzani mnachekesha sana, leo Afande sele amekuwa msaliti?

Ivi ccm ni act? Mbona watetezi WA ccm woote wanatetea ACT? Kuna siri apo!! Ebu chunguza thread zooote uone!!
 
Anyoe hayo mabange kichwani' isije kunekana ACT yote wahuni.
 
Hapana,bali jua ukipandacho ndicho utakacho VUNA.Subiri mgawanyiko wao soon.
CCM tumefanya nini? Sisi Tuma chama chetu nanyi mna vyama vyenu kila mmoja aseme Ya kwake na siyo kila siku CCM tu!

Afande Selle Subiri matusi toka Bavicha, maana walikutetea sana hao sasa watakunanga na kukusigina hadi mwisho!
 
Ivi ccm ni act? Mbona watetezi WA ccm woote wanatetea ACT? Kuna siri apo!! Ebu chunguza thread zooote uone!!

CCM tunapenda amani hatutaki mtu aonewe km Afande Selle kujiunga na ACT kazi kwake it's non of our business, ni demokrasia tu!

Afande Subiri matusi sasa na kuvuliwa nguo, CCM tulisema kuwa Afande ni kichaa mkabisha na kumtetea leo najua mtakula matapishi yenu!
 
Anyoe hayo mabange kichwani' isije kunekana ACT yote wahuni.

Leo muhuni jana mtu safi? Bavicha ndugu zangu kuweni na msimamo basi acheni kuwa ndumilakuwili wenye midomo miwili miwili.
 
Back
Top Bottom