Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Jamani Chadema inapoteza wanachama katika Kipindi hiki KIGUMU je kweli tutafika??!! Nadhani sasa huu ndio mwanzo na mwisho wa chadema wanaanza Kuvuna walicho kipanda. Maamuzi yaliyo fanywa ni ya kukurupuka.
 
jamani chadema inapoteza wanachama katika kipindi hiki kigumu je kweli tutafika??!! Nadhani sasa huu ndio mwanzo na mwisho wa chadema wanaanza kuvuna walicho kipanda. Maamuzi yaliyo fanywa ni ya kukurupuka.
na mie nahamia act
naomba mnielekeze ofisi zilipo nikachukue kadi
 
Katibu mkuu

Kuingia na kuingia amekuwa KATIBU MKUU?Kuna mawili kabla ya kuondoka CDM alikuwa na cheo hicho.

Kama Mwanachama wa CDM anahamia ACT sababu ya Zitto ,basi nina uhakika ataondoka ACT sababu ya Zitto pia au Kiongozi mwingine.

Alisema Nyerere ukizoea kula nyama za watu hauachi kamwe.
 
Moja ya vitu vilivyokuwa vinanisumbua ni pamoja na Chadema kufikiria kumsimamisha Afande Sele jimbo la Morogoro Mjini wangepoteza jimbo asubuhi na mapema, binafsi nilifurahi sana niliposikia Afande Sele kahamia ACT na siku hiyo hiyo kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia chama hicho, jimbo la Morogoro Mjini ni mhimu sana kwa strategy za kisiasa kwa hiyo siyo busara kulichezea patapotea kwa kumuweka mtu asiye na maadili kama Sele.
nilikuwa najiuliza afande sele ana impact gani kwenye siasa za Tanzania
 
mimi leo niko nakusanya magwanda ya chadema na skafu zote nizitie moto!!!
 
Alpokuwa chadema alikuwa sawa,kwenda act mvuta bangi au ndo msemo wa akinya kuku kanya akinya bata kaharisha?
 
Jamani siasa siyo uadui kila chama kina dira yake sasa mtu akivutiwa na mipango mizuri ya chama fulani chenye mipango ya kuikomboa tz yetu ni msaliti basi kila mpinzani ni msaliti wa ccm?
 
Yes ofcourse,

Even Pascol the JF senior wrote a thread few days ago alarting chadema and general public the side effect of ZZK leaving the party!

Let's wait and see.......

who is the hell is Pasco by the way!? Don't forget Zitto was kicked out the party. so him joining any party is not a problem to CHADEMA.
 
yeye alikuwa na mchango gani kwa chama hapo Morogoro mjini mpaka ajiaminishe kugombe ubunge!? mwache aende popote anapotaka kama anaamini kutampa nafasi hiyo.
 
Kama ni kweli basi huyo msanii ni mjanja, anajua atapiga pesa nzuri kwani atapata dili la kuzunguka nchi nzima kumpa Promo Zitto na ACT.
Soon kutatokea mgongano wa kimaslahi na wasanii wa Lekadutigite wanaotoka Kigoma.

Chama hakina hela, wanategemea hela ya Zitto....hiyo hela ya promo atakayopiga huyo mvua nguo jukwani itatoka wapi?!
 
mbona wanaoenda act wote makapi tu? hakuna wanasiasa hapo wote wasaka tonge tu.Kingine cha kusikitisha mbona no wale wale tu waliofukuzwa 2013?
 
watu aina ya afande sele ni wale wanaoshabikia chama 7bu ya mtu flan...kwahyo zitto akiama act nae atahama....kwanza afande sele kaonyesha ni jins gan asivyokua na msimamo tunajua wapo weng xna watakaoamia act tusubil tuone

Kuna wengi sana waliigiza namna hiyo, eti wao mapenzi siyo chama bali ni mtu. Tuliwaona waliokuwa wanamshabikia Mrema, alipohama NCCR mageuzi kwenda TLP nao wakahama, she.nzy type zao waliishia wapi? Uchaguzi uliokuja hawakurudi tena bungeni. Sasa nina mashaka sana na hao watakaomfuata Zitto! Na kama kuna mbunge mpumbavu CHADEMA anawaza kumfuata Zitto afanye haraka asituzingue sisi, aende haraka kabisa tuone kama Novemba atarudi bungeni! Wabunge watakaomfuata huko alikoenda wakitokea CHADEMA kama watarudi wote bungeni, nitatembea uchi kutoka nyumbani kwangu (Majengo Mapya) mpaka Soko Kuu la Shinyanga!!
 
Back
Top Bottom