Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Chadema anaondoka mmoja wanaingia mia
 

Attachments

  • 1427093752828.jpg
    1427093752828.jpg
    66.5 KB · Views: 88
Jitafakarini nyie wafuasi wa MTEI, leo mnamuita Afande Sele Mvuta bangi wakati yupo CHADEMA hamkulijua hilo?
we niaje niaje hujuwi kuwa leo ukiwa mzima unaitwa binadam ukifa maiti unashangaa nini hapo tumia akili!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
hebu tupia ile picha ya afande sele akiwa na chupi tu
 
Yes ofcourse,

Even Pascol the JF senior wrote a thread few days ago alarting chadema and general public the side effect of ZZK leaving the party!

Let's wait and see.......
mkuu andika kiswahili tu utaeleweka!
 
hoja yako ni nini ndugu??

Nachukia sana siasa za namna hii, jenga hoja yako vizuri tu utaeleweka usihusishe masuala ya siasa na imani za watu. Hivi unataka kuniambia kwamba zitto kafikia hatu ya kufananishwa na yusu,mtume mohammad?? Acha kukengeuka ndugu yangu. Heshimu imani za watu.

Back tanganyika
ata ya mzee wa upako hajafikia !!!! MKUU WATU WENGINE KICHWANI WANA MAKAMASI MKUU MPOTEZEYE HANA IMANI HUYO ANAFIKIA KUFANANISHA MBUZI NA MTU
 
Jamaa alikuwa na mpango na alikuwa ametangaza nia ya kugombea Ubunge Morogoro mjini,sasa yawezekana amepata tetesi kuwa hatopitishwa au kajipima na kuona ndani ya chama kuna competition kubwa ambayo si rahisi kupita kwenye kura za maoni,njia pekee ni kutimkia ACT, chama kichanga ambacho itakuwa rahisi kwake kupita na kuwania ubunge.Au pengine kanunulika ili kufanikisha mpango wa kufifisha upinzani hapo Morogoro mjini.
Moja ya vitu vilivyokuwa vinanisumbua ni pamoja na Chadema kufikiria kumsimamisha Afande Sele jimbo la Morogoro Mjini wangepoteza jimbo asubuhi na mapema, binafsi nilifurahi sana niliposikia Afande Sele kahamia ACT na siku hiyo hiyo kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia chama hicho, jimbo la Morogoro Mjini ni mhimu sana kwa strategy za kisiasa kwa hiyo siyo busara kulichezea patapotea kwa kumuweka mtu asiye na maadili kama Sele.
 
Guys,let us be serious,nchi inaangamia hii,halafu vijana tunachekelea,hebu rejeeni historia za siasa hapa nchini,hasa baada ya kurejeshwa kwa mfumo wa vyama vingi,why can't we think a little more,kila chama kinapokuwa na nguvu ya kuitikisa ccm haya yamekuwa yakitokea,na kudhoofisha uwezekano wa kuwaondoa makaburu weusi,Ccm,nasikitishwa na aina ya siasa za hapa kwetu,kwani watu wanawashabikia zaidi watu badala ya hoja na itikadi za vyama walivyomo,kwa siasa za namna hii kuitoa nchi hii hapa tulipo,ni ndoto za mchana kweupe!!!
 
Moja ya vitu vilivyokuwa vinanisumbua ni pamoja na Chadema kufikiria kumsimamisha Afande Sele jimbo la Morogoro Mjini wangepoteza jimbo asubuhi na mapema, binafsi nilifurahi sana niliposikia Afande Sele kahamia ACT na siku hiyo hiyo kutangaza nia ya kugombea ubunge kupitia chama hicho, jimbo la Morogoro Mjini ni mhimu sana kwa strategy za kisiasa kwa hiyo siyo busara kulichezea patapotea kwa kumuweka mtu asiye na maadili kama Sele.

UKAWA inabidi watengeneze strategies za ushindi kwa hali ya juu sana hapo Morogoro mjini.Wakazi wengi wa Morogoro mjini ni wavivu wa kufikiri,wanamwona Abood kama mkombozi wao kwa kushawishika ni viji -misaada vi-dogovidogo vinavyodhalilisha utu wa mwanadamu,wanashawishika na zile bus mbovu kubeba waombolezaji kwenye maziko,wanashawishika ni viji-pesa vya hapa na pale.Badala ya kusolve serious issues hapo Morogoro mjini ila wao kwa huto tuji-msaada wamerizika navyo.

Wakazi wa Morogoro hasa wa maisha ya kawaida wanategemea soko kama kitegauchumi kikubwa kwa kuuza nafaka,mbogamboga na mahitaji mengine muhimu.Pamoja na mijipesa aliyonayo Abood ameshindwa kuliboresha soko la hapo Morogoro kulifanya la kisasa ili kukuza vipato vya wafanya biashara hao.Ukitembea km 4 nje kidogo ya mji kuna shida kubwa ya maji utadhani hakuna vyanzo vya maji.Mlima Uluguru unavamiwa na kuharibiwa kwa shughuli za binadamu ambazo zingedhibitiwa kulinda uharibifu wa vyanzo vya maji.

Afande Sele kupitia ACT atafanikiwa kuwavuta baadhi ya vijana ambao hawapo serious na Maisha.Atapunguza nguvu za UKAWA kwa kiasi fulani,UKAWA wasipokuwa makini tu,Jimbo linarudi CCM.
 
Huyu naye si jinga tu. Acha akajitengenezee hela zake za wiki mbili ila kiusanii ameshapotea
 
Huyu jamaa alikuwa anaenda vizuri pale Moro mjini lakini cha kusikitisha ni kuwa kwa upande mmoja anajifananisha na msanii mwenzake Joseph Haule kitu ambacho wenye akili wanajua mipaka yake.
Kuna picha moja alipiga akiwa amevua nguo jukwaani na hii ndiyo ingeliwapa shida sana cdm/ukawa kumpitisha kugombea jimbo hili.
Kuna mambo tumejifunza kwenye bunge linaloisha kubwa ni kuwa na mbunge kama Shibuda ambapo unafikia sehemu unasema bora chama kingelikuwa kama DP kuliko kuwa na wabunge wenye kutia mashaka kam huyu. Acha aungane na masliti lakini kwa akili na falsafa za Selemani Msindi sidhani kama 'watakaa nyumba moja'.
 
CCM tumefanya nini? Sisi Tuma chama chetu nanyi mna vyama vyenu kila mmoja aseme Ya kwake na siyo kila siku CCM tu!

Afande Selle Subiri matusi toka Bavicha, maana walikutetea sana hao sasa watakunanga na kukusigina hadi mwisho!

Mawazo yako wote humu JF ni Bavicha.Haya pole zako.Utakapokuja elewa wengine siyo BAVICHA,na huo umri wa BAVICHA ulishapita kitambo........................
 
Afande sele inaonyesha ana mahaba niue na Zitto inaonekana hata Zitto akienda kuzimu ataenda naye
 
Back
Top Bottom