Tunasuburi mnyika na halima mdee leo Ict tupo vizur sana
Na Wa CCM 23 wapo mbioni kujiunga na msaliti
Yesu alivyopanda punda kutoka bethelemu kuelekia Jerusalem alishangiliwa sana, lakini siku nyingine punda alitokaa pekee yake kutoka bethelem mpk Jerusalem hakuna aliyemshangilia huyo punda
Jitafakarini nyie wafuasi wa MTEI, leo mnamuita Afande Sele Mvuta bangi wakati yupo CHADEMA hamkulijua hilo?
njaa mbaya sanaMwanamiziki Suleiman Msindi (Afande Sele) Asubuhi hii naye amejiengua CHADEMA na amejiunga pamoja na Zitto katika Chama cha ACT.
![]()
Ujumbe mzito huo? Aliyesaliti kanisa kwa uroho wa kupora mke wa mtu.
Mwanamiziki Suleiman Msindi (Afande Sele) Asubuhi hii naye amejiengua CHADEMA na amejiunga pamoja na Zitto katika Chama cha ACT.
![]()
Mbona alama ya chama cha ACT ni nyota ni chama cha waislamu tuu,?