Ccm wana mbinu nyingi xna yetu macho kwan tunaamin wapo tayar kwa namna yoyote ile kiakikisha chadema hakina nguvu ktk uchguz ujao, ila watambue xx tunahitaji chama makini na mtu mmja wa kutuyumbisha kwa maslay binafs.... viva CHADEMA.
View attachment 236721
Hivi ni vijiwatu Chadema ni jitu kuuuubwaaa sasa wapi na wapi?vijiwatu na Jitu!
Kwa kifupi hata kina TunduLissu watakimbilia act kwani wachaga na wakaskazi wakichachamaa hao wakuja au wanyamahanga wote watafukuzwa hasa matumaini Yakiwa kweli Si unaona ukawa , taratibu CUF watajiondoa maana Ukawa wameanza siasa za kutumia ma kanisa na CUF ni waasisi wa siasa za dini kupitia misikiti sasa Ngoma iko mezani nani atabaki UKAWA kama Si Chadema maana ndo iko ktk chart kupitia tamko la maaskofuYah, ni kheri kina ''Mpendazoe'' wafungashe virago mapema kabisa watoke waende zao. This is the screening process. Through this, now we have a chance to know who is the ''real fighter'' in this battlefield.
To hell...,
Teh TehKuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi! Huyo afande sele ni katika watu wa cdm niliokuwa nawatilia mashaka intergrity yao kwenye jamii, sasa better amepita hivi atuache na chadem yetu
Chadema needs a ceasefire na hawa ACT, ikiwezekana waweke truce ya kufanya kazi pamoja, kwani infighting kati yao won't turn out well.
Shida kina mbowe under-estimated ZITTO charisma and what he stood for.Zitto is not Mwigamba or Mpendazoe. It's not something CDM should take lightly.
Now that ZITTO is no longer in CHADEMA, i do not see any validity in CDM continuing to fight him, since they didn't want him because they perceived him as a traitor, am sure he is not attending meetings in CDM and certainly will not challenge Mbowe for Chairman ship. So effectively got everything they wanted. Get rid of Zitto and all his followers as well as keeping Mbowe and team in leadership. It's time they think of a wider opposition alliance to take out CCM even if CDM MP's move to ACT, since these MP's will move not because they hate CDM, but because they do not like how the party (CDM) is run. Now that they are out, they can focus on CCM.
The ball is in CDM's court in this one.
Tutarajie na akina Profesa Jay nao kujiunga na ACT
We are tired with ZZK! Binafsi siuoni umuhimu wa ZZK ktk chadema kwa sasa.
Zitto atoandoka nawahuni nawatu wasioiona Kesho kama Afande sele, mtu kama Afande sale hana uungwaji mkono wa kisiasa mkoani morogoro,Afande sele ni rafiki yangu tangu hajawa falme wa Rhymz!Anapoteza Muda na nilishamwandikia asigombee hata UBUNGE Anapoteza muda, after all hawezi kuishi bila kuvuta bangi kila dk,na ninavyoijua morogoro Anapoteza Muda tu, labda aishie kupewa posho na ya kutunga nyimbo !!! Lkn hakuna future yyt ktk politicz!!!