Yaani mvuta bangi naye anajivunia kuingia ACT? Kazi hipo
Yaani mvuta bangi naye anajivunia kuingia ACT? Kazi hipo
Teh teh teh leo hii yamekua hayo zamani ulikuwa wapi kusema.
Hizi ndo siasa za kufuata mtu na si sera ya chama husika. Hadi hapo mheshimiwa afande sele kachemka. Kwa hiyo alikuwa anampenda zito na si sera za chadema. The teh teh teh teh. Chadema ni taasisi na si mtu binafsi. Mbowe,Slaa,Mwalimu,Mnyika etal wakituzingua "watapigwa tu " kwa kutumia katiba ya CDM. Hii ni kwa sbb CDM inafuatwa sera na si mtu binafsi Hakuna msaliti atakaye vumiliwa. Pamoja katika UKAWA tutaikomboa nchi hii ktk mikono ya mafisadi ccm.
Kama ni kweli basi huyo msanii ni mjanja, anajua atapiga pesa nzuri kwani atapata dili la kuzunguka nchi nzima kumpa Promo Zitto na ACT.
Soon kutatokea mgongano wa kimaslahi na wasanii wa Lekadutigite wanaotoka Kigoma.
Hivi huyu sele ni yule mfuta bangi?
Afande kwa ACT hawezi kumng'oa Abood.
Afande amevamia siasa atapotea