Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Mimi nashangaa kabisa,kuna watu ambao ni great thinkers humu ndani nao wanapoteza muda kumjadili afande Sele!.Hebu tujiulize madhara ya afande Sele kuingia huko ni nini,kama si zaidi ya faida kutoka humo.
Usipoteze muda mtu na akili yako kumjadili huyo,atajadiliwa na bongo movies na bongo flava wenzake.
Tafadhali bongo muvi na bongo flava msinitukane

Mkuu, Wewe umeongea, siioni influence ya Afande Sele kisiasa, labda kama alikua na kundi la watu uko Chadema linalom support kisiasa kama ZZK ama kama alikua mmoja wa viongozi wa juu wa Chadema ndio hao CDM labda wangebidi wajiulize
 
Bora aende huko mana ulikuwa mzigo na zile picha za uchi stejini zilikuwa zinatutesa!!
Kumekucha ACT.

afande_sele4.jpg
 
thanks God kuondokewa mapema na uyu msanii. tungepata shida sana kumuuza

Hayo mngeyasema mapemaaa wakati tulipokuwa tunasema kuwa huyo jamaa nimvuta bange lakini mlitutolea mifano ya kina sugu kuwa ni mlevi na mvuta bange mzuri lakini mbunge sasa mmebakia na prof J vp huyo anafaa mikumi? au mnasubiri mpaka atoke?
 
Wananchi si wajinga wanajua kuwa CCM ilianzisha ACT kwa lengo la kudhoofisha harakati za kuing'oa madarakani, wanajua kuwa ACT wanaendeshwa kwa fedha za UFISADI, wanajua kuwa Mamluki wote wa CCM waliopandikizwa CHADEMA watatumiwa as a last resort kwani sera za CCM zimeshindwa kuwapatia maendeleo waliyokusudia!!! Sera, Ilani na Itikadi ya ACT ni Propaganda za kuiponda CHADEMA 24/7... Je propaganda hizo zitawaletea wananchi Maji, Umeme, Maisha bora, elimu bora, barabara nk?... Soon CCM wanajutia uamuzi wao wa kuanzisha ACT...

Kwa hiyo ACT haijaanzishwa tena na Zito imeanzishwa na CCM? Chadema mwaka huu hamna rangi mtaacha ona ACT hiyoooo Ikulu
 
Saccos imejipambanua kua ni saccos, vyama huru wacha viendelee kuwa vyama, Ukibaki CHADEMA lazima ukubali kua zombi au msukule wa mbowe na slaa.
 
Atakuwa nazo sababu zake (Seleman) anazoziona zinafaa na ni za msingi kuamua kufanya alivyofanya, kwani hata Zitto alizipata sababu za msingi kiasi cha kukubali kuhujumu chama chake cha awali alichoahidi kuwa atakuwa mtu wa mwisho kutoka. Lile andishi la barua yake kwa Spika wa bunge ndilo litachangia sana kumuua kisiasa Zitto kwani wale aliowahujumu walikuwa wanamsubiri pale, na wamefanikiwa kumkamatia pale.

Utawaelezaje wananchi kuwa wewe ni mzalendo na uko tayari kusimamia kile unachokiamini....!? Unadai utakuwa wa mwisho kutoka kwenye chama, "mate "hata hayajakauka unageuka na kukana kauli yako...unaama bila hata kuonyesha juhudi zozote za kutaka kuendelea na chama kwa ustaarabu na busara.Unadai nitawataja walioficha pesa za wizi Uswisi muda si muda unageuka bubu ukuulizwa majina hayo...!

Zitto umewaabisha vijana, umevunja moyo baadhi wazee waliokuwa wameanza kuwaamini vijana kwenye nyadhifa mbali mbali ....! Ni matumaini yangu kuwa Seleman Msindi hakusumwa na ukigeugeu wa Zitto katika mambo ya msingi.
 
Zito ni msaliti siku zote miaka ya nyuma alipokuwa rais wa Wanafunzi udsm kwenye ule mgomo alikuwa anavujisha siri na kuwapa serikali mpaka akapewa offa ya kusomeshwa Ujerumani na serikali.
Zito hafai

Hakuwahi kuwa rais msaliti Zito.Alıkuwa wazirı mkuu.Nawaambia, msıanghaike na Zito.N mtu mdogo muno ukilinganisha na taasisi CHADEMA ınayoimarika kila uchao.Chadema inaendeshwa na sı tu weledi bali na watu wa mjini ambao hawawezi kubabaishwa na mchimba chumvi Zito.Huyo dogo kwanza ana nasaba za Kiutu, hvi ni vıjitu vıbishi ambavyo daima husaliti wenzao.Waone vikundi km FNL PARIPEUTU, ovyo.
 
Leo nimeamini watu wa chadema hawako fact ,wakipata mwanachama mpya maarufu,sifa mzuri anapewa,hakihama tu,kwao shida
 
Sijaona faida ya msindi kuwa chadema wala hakuna hasara yeye kuondoka
 
Back
Top Bottom