Msanii mkongwe wa Bongo Fleva,Seleman Msindi "Afande Sele" ajiunga rasmi na chama cha ACT-TANZANIA cha Zitto Kabwe.
Mkaa uchi aka Viroba vitapukutika sana
View attachment 236719
Msaliti Seleman Msindi akijisalimisha ACT leo
Na zito asipoangali wanamfilisi hawa wavuta bange maana anachokifanya ni kuwahonga
Siasa za kuhonga zina mwisho wake!