Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

You don't haffi dread to be
rasta
This is not a dreadlocks thing
Devine conception of the heart
Jifunze kuandika vyema, angalia hapo juu utafikiri ulikuwa unaandika shairi? Yaani vina, mizani hahaaaaaaa
 
CDM vichwa vinawauma. Na dhambi ya ukabila ndio inawarudia sasa.

ACT ndo habari ya mujini.
 
The total fall of CHADEMA has now come

Yes ofcourse,

Even Pascol the JF senior wrote a thread few days ago alarting chadema and general public the side effect of ZZK leaving the party!

Let's wait and see.......
 
CDM vichwa vinawauma. Na dhambi ya ukabila ndio inawarudia sasa.

ACT ndo habari ya mujini.

Kweli kabisa na baado tutayasikia mengi sana na kila corner kwani sasa watajua kuwa ZZK hakuwa mtu wa kawaida, alikuwa na watu na washabiki wake tena wengi sana!
 
Mwe huyu kumbe a likuwa Chadema sasa hata hajawa na mizizi kashahama mhh.
 
Wote wahuni bola waondoke sasa asiyejuwa sele mhuni nina mtu mzima nafamilia anavuajukwaani hatuhitaji waainahiyo
 
Jamaa alikuwa na mpango na alikuwa ametangaza nia ya kugombea Ubunge Morogoro mjini,sasa yawezekana amepata tetesi kuwa hatopitishwa au kajipima na kuona ndani ya chama kuna competition kubwa ambayo si rahisi kupita kwenye kura za maoni,njia pekee ni kutimkia ACT, chama kichanga ambacho itakuwa rahisi kwake kupita na kuwania ubunge.Au pengine kanunulika ili kufanikisha mpango wa kufifisha upinzani hapo Morogoro mjini.
 
Mussa Allan na wenzako wote hamna tofauti na yule jamaa aliyelia sana kwenye msiba wa mke wa mtu kuliko mfiwa kumbe alikuwa anajipigia sasa analia sana maana hajui atapata wapi demu mwingine. Wewe na CCM wenzako fuatilieni mambo yenu ili mkubalike kwenye mioyo ya Watanzania walio wengi na siyo kusubiri kuchakachua kura kwenye chaguzi mbalimbali. Chukua kadi ya ACT kama umeichoka CCM. Full Stop!
 
hahaha act imekua mtamu zaidi ya mcharo

Sina uhakika na alitendalo afande sele inaonekana anajaribu kufuata upepo na kupiga pesa tu hapo na kashafahamu kuwa ACT ni ccm .b. ivyo kitapata msaada mkubwa wa pesa toka ccm. na uhakika ni kwamba huyu afande atachomoka act. after election na kurudi chadema
 
Mkuu umenifurahisha sana, maana jamaa tulikuwa na kazi kubwa sana ya kumsafisha, na sio zile picha za uchi tu, hata zile alizokuwa na 20% walipokuwa kituo cha polisi wamekula kichapo, nazo zilikuwa hazisafishiki kabisa

Yale mapicha ya Afande yalikuwa ni aibu, ila tungefanyeje sasa?
 
Back
Top Bottom