Neutral Figure
JF-Expert Member
- Mar 8, 2015
- 537
- 201
Bora aende huko mana ulikuwa mzigo na zile picha za uchi stejini zilikuwa zinatutesa!!
Hahahahhaha.....ndugu umenivunja mbavu....eti zilikuwa zinawatesa
Bora aende huko mana ulikuwa mzigo na zile picha za uchi stejini zilikuwa zinatutesa!!
Sorry guys,
Kwani Sele alikua na wadhifa gani CDM? Au alikua na "impact" gani katika CDM??
Hata angegombea CCM hapati hata uenyekiti wa mtaaKura zake Morogoro hazitajaa kiganja!
Watu mbona wanapenda kuchezea bahati namna hiyo? Huyu mimi naamini jina la chama tu lilikuwa linatosha kumbeba, lakini huko alikoenda asahau ubunge wa Morogoro.
Mbona kadi ya Zitto ina rangi tofauti? Au macho yangu!Mwanamiziki Suleiman Msindi (Afande Sele) Asubuhi hii naye amejiengua CHADEMA na amejiunga pamoja na Zitto katika Chama cha ACT.
View attachment 236752
I presume hauko serious
Kwa hiyo hii nayo ni hoja? Au we ni G.lema?Jibu hoja acha vioja ACT kwa nini mmeweka nembo ya msikiti?
Hapa ndio tuamini kuna watu walikuja chadema kwa sababu ya mtu na sio sera za chama.
Bado kuna wabunge 6 wa CHADEMA wanahamia leo ACT!
CHADEMA mtajuta kumjua Zitto![/QUOT Wahame wasaliti wote watuachie chama safi.
Jibu unalo kichwani mwakoMhh............Mkuu ni bora ukakaa kimya na kumtakia heri aendako.... Yupi amesafishika kirahisi? Yule aliyeisaliti ndoa yake DUBAI au yule aliyepelekwa mahakamani kwa kupora mke wa mtu?
Kwaakili yako kila mwana-democrasia anataka madaraka? Hoja watu wanatafuta wapi kwenye demokrasia ya kweli, ambayo CDM imekosena.Hata angegombea CCM hapati hata uenyekiti wa mtaa
CHADEMA kimekufa