Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Wafuasi wa mtu wakimfuata mtu..!!!

Alijiunga Chadema kwasababu ya Zitto, anajiengua Chadema kwasababu ya Zitto..!! Zitto akijiengua Act naye atatoka na kwenda huko aakako kwenda kipenzi chake...!!!! Ajabu sana siasa za nchi hii

Kubwa zaidi ukimwambia akutajie japo kifungu kimoja ktk Katiba ya Act sidhani kama ataweza achia mbali kukutajia kifungu cha Katiba kwenye Chama alichotoka. Haya sasa muulize kilichomuondoa Cdm ni nini? Daaah hawa ndio wanasiasa wetu wa enzi hizi Shida kweli kweli..!!

Anyway kila lakheri huko uendako, Na Mungu akusaidie ktk ndoto zako kisiasa uje kupambana na mgombe Ubunge toka UKAWA na Abood toka ccm, naam ndoto zako zitatimia.

BACK TANGANYIKA
 
I am on my way to NOU CAMP...."!! Nikirudi naondoka CDM...naenda ACT....alafu nikiona ACT sijapata kitu 3 months..naenda KAFU....nikiona KAFU mizegwe naenda CCM niliko zaliwa nifie huko... Rahaaaa...!!!
Ungeanza kupitia Anifield kwanza
 
Mkuu umenifurahisha sana, maana jamaa tulikuwa na kazi kubwa sana ya kumsafisha, na sio zile picha za uchi tu, hata zile alizokuwa na 20% walipokuwa kituo cha polisi wamekula kichapo, nazo zilikuwa hazisafishiki kabisa

Leo ndio mnalitambua hilo? Au mnaleta hadithi ya sizitaki mbichi hizi?
 
Zito ni msaliti siku zote miaka ya nyuma alipokuwa rais wa Wanafunzi udsm kwenye ule mgomo alikuwa anavujisha siri na kuwapa serikali mpaka akapewa offa ya kusomeshwa Ujerumani na serikali.
Zito hafai

kwann hukusema mapemaaa mkuu acha kele le hayo yashapita tugange yajayo araaaaaaaaaaaaaaaa
 
Leo ndio mnalitambua hilo? Au mnaleta hadithi ya sizitaki mbichi hizi?

Nenda wewe kanunueni mbona na ela zenu za mboba zile. kwanzan hadi sasa mmeweza kulikamata lile joka lenye makengeza?
 
Mkuu nakushauri ukae kimya kama unaazisha kuwatukana viongozi wa cdm na sisi tutaweka heshima kando tuanze kulipiza kwa viongozi wenu wakuu kwani madhaifu yao tunayo.chunga akili yako

Mkuu wangu Mmawia, wapi katika andiko langu nimemtaja kiongozi wa CDM?
 
Last edited by a moderator:
Kama ni kweli basi huyo msanii ni mjanja, anajua atapiga pesa nzuri kwani atapata dili la kuzunguka nchi nzima kumpa Promo Zitto na ACT.
Soon kutatokea mgongano wa kimaslahi na wasanii wa Lekadutigite wanaotoka Kigoma.
Dua la kuku halimpati mwewe
 
i plead running better than walking,I plead fighting underdevelopment is tougher than fighting a wounded buffalo with a pocket knife;HOW IS DEVELOPMENT TO BE BROUGHT BROTHER,IF THE PEOPLE TO WHOM WE HAVE ENTRUSTED POWER ARE CORRUPT.a real field marshal is found in a battle field!,"THE BETRAYAL IN THE CITY.
 
Sasa hapo ndo CHADEMA inavua magamba, inarudi upya wake!
 
Back
Top Bottom