white-frank mhiro
JF-Expert Member
- Mar 18, 2015
- 760
- 166
hongera afande kwa kujiengua kwenye SACCOS ya dikteta mbowe!!
Hivi ndo huyu?
Kwa sasa hatovua tena amesha erevuka
View attachment 236719
Msaliti Seleman Msindi akijisalimisha ACT leo
Acha waende, bora kubaki na timu ndogo yenye nidhamu kuliko timu kubwa inayokupa hasara.
Teh teh teh ....
Wapinzani mnachekesha sana, leo Afande sele amekuwa msaliti?
Mkuu weka akiba ya maneno, Leo ndio mnamuona Afande sele Mvuta bangi?
mwaka huu urais ni CCM hilo lishaonekana mapema sana.. mgawanyiko huu ni hatari...
sina ushabiki wa chama lakini kati ya watu siwapi kura afande ni wa kwanza, labda ka ameacha bangi na madawa, lakini still jamaa hata vitabu sijui kama anasoma huyo, mtu akishapiga madawa akili hua inakua affected vibaya mno ni long term effects, huyu bado kadata...
Mkuu huyu mkaa uchi kabla ya kwenda ACT alikuwa chadema..kwanini mli mpokea mkaa uchi?
Zitto punguza spidi Bavicha wana hali mbaya.
Ninakad ya ACT nanimwanachana hai ila kula Yangu iko UKAWA.
Sijamtaja Sugu, kwani una hakika ninamuunga Sugu mkono au la??Ebu acha utani, kwani Sugu anasoma vitabu gani?
Teh teh teh leo hii yamekua hayo zamani ulikuwa wapi kusema.