Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

hahahahaaaaaa hata sugu naye ana asili ya kihuni tuuuu so kama vipi nae mumuengue hiphop maandazi tushazoea kwenye kumbi za kihuni, asilimia kubwa ya wanachama wa chadema ni vijana... vijana tumekubuhu kwenye viroba na bangi sasa kama hamuutaki uhuni chadema muwakataze machalii kujiunga na chama...
 
MBUNGE MORO.jpg
 
Mtasikia mengi sana mwaka huu mrisho na Shilole nao wana ndoto za kujiunga ACT
 
INACHEKESHA SANA..... Mtu akijiengua CCM au chama chochote kile na kujiunga na CHADEMA, huyo ni muungwana na ameona mbali. ILA akijiengua CHADEMA na kujiunga na chama kingine chochote huyo anakuwa ni MSALITI. eeeeeeenh!!!!! :A S confused::thinking::A S confused:

Mkuu Chadema ina double standard.
 
Maskini chadema inazidi kupukutika? Ina mana kura za chadema zote zinaenda act?
 
Kwa Muktadha huu wa vita vya Panzi(ACT vs Chadema)humu mtandaoni sitashangaa Kunguru(CCM) akirudi!!!Ushabiki wa siasa ni mbaya sana.....Kama lengo CCM itoke madarakani mi sioni haja ya watu wa ACT na Chadema kuanza malumbano......wanasiasa ni kama wacheza mpira leo Yanga kesho Simba....ikiangalia historia zao viongozi wa siasa wengi hasa upinzani wametokea CCM kama laa basi chimbuko ni chama tofauti na walichokuwa nacho sasa......kuna kipindi ni kweli tuweke akiba ya maneno,hivi itokee Slaa ama Lissu amehamia hiko chama tutaweka wapi sura zetu?NCCR ilikuwa na watu bana lakini leo hii wako upande mwingine.

Hapa watu watahamishia vitayao act, ccm wanakula bata
 
Back
Top Bottom