Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,868
mkuu kimbunga hiyo signature yako mbona rangi za ACT! .. tayari na wewe ?
Mkuu njiwa, Za masiku? Umeadimika kiaina kulikoni?
Last edited by a moderator:
mkuu kimbunga hiyo signature yako mbona rangi za ACT! .. tayari na wewe ?
ametumia haki yake ya kikatiba.hongera!mwanamiziki suleiman msindi (afande sele) asubuhi hii naye amejiengua chadema na amejiunga pamoja na zitto katika chama cha act.
![]()
kumbe 6 mi nilikua najua 14,ok waende
Aiseee, kumekucha. Ufipa hakukaliki kabisa. Zito mpango wa mungu
Who is Afande Sele? I've never heard of him until today.Sizitaki mbichi hizi, ngoja bavicha waje hapa
Tuko wengi
Wapi napata kadi ya act jaman fasta ofa yangu laki 1
Zito ni msaliti siku zote miaka ya nyuma alipokuwa rais wa Wanafunzi udsm kwenye ule mgomo alikuwa anavujisha siri na kuwapa serikali mpaka akapewa offa ya kusomeshwa Ujerumani na serikali.
Zito hafai
Kumsafisha Sele humu ndani ilikuwa ni kazi kubwa,kila CCM wakiupload picha za Uchi za Sele wana CDM tulikuwa tunanyea kumtetea maana ilikuwa ni kazi mno,hatimaye magugu yamejiengua wakati wa Mavuno
Mkaa uchi aka Viroba vitapukutika sana
Juzi ulikuwa unamshangilia akiwa chadema leo kahama amekuwa taka tena kweli chadema siyo watu.
Yah, ni kheri kina ''Mpendazoe'' wafungashe virago mapema kabisa watoke waende zao. This is the screening process. Through this, now we have a chance to know who is the ''real fighter'' in this battlefield.
To hell...,
Teh Teh Bavicha chaliii sasa hivi ndio wanamuona mvuta Bange sizitaki mbichi hizi
Ndo natoka kuchukua kadi ya ACT-TZ! Nimewaachia wachaga saccos yao!Zitto ana akili sana kuachana na SACCOS ya MTEI!