Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Kama ni kweli basi huyo msanii ni mjanja, anajua atapiga pesa nzuri kwani atapata dili la kuzunguka nchi nzima kumpa Promo Zitto na ACT.
Soon kutatokea mgongano wa kimaslahi na wasanii wa Lekadutigite wanaotoka Kigoma.

Kwa zzk hiyo ni kitu kidogo sana kwani ccm washa muandalia fungu la kutosha
 
Mwanamiziki Suleiman Msindi (Afande Sele) Asubuhi hii naye amejiengua CHADEMA na amejiunga pamoja na Zitto katika Chama cha ACT.

Bado kuna wabunge watatu pia, na CHADEMA BADO ITABAKI IMARA.
 

Mkuu kumbe ulikuwepo. Nami nimetia timu. Bahati mbay sele alikuwa hajafika nikasikia Kitila akimpigi simu.

mkuu kimbunga hiyo signature yako mbona rangi za ACT! .. tayari na wewe ?
 
Mwanamiziki Suleiman Msindi (Afande Sele) Asubuhi hii naye amejiengua CHADEMA na amejiunga pamoja na Zitto katika Chama cha ACT.

attachment.php

Mungu mkubwa afadhali ameondoka
 
Wafuasi wa zitto njia nyeupe! Sisi tulio wanachama tutahama pale cdm itakapobadilisha sera yake na kukumbatia sera ya kulindana kama ccm.
 
Jitafakarini nyie wafuasi wa MTEI, leo mnamuita Afande Sele Mvuta bangi wakati yupo CHADEMA hamkulijua hilo?

Tulijua ila tulifanya kama ccm kulindana hata kama unaiba mabilioni ya epa umaambiwa we rudisha tu mshikaji
 
Uamuzi sahihi kabisa afande sele act tanzania ndio chaguo la wengi na chama cha wazalendo , wote wenye nia njema njooni act tanzania.
 
Mkuu kumbe ulikuwepo. Nami nimetia timu. Bahati mbay sele alikuwa hajafika nikasikia Kitila akimpigi simu.

Mbona alimpigia na Mwigulu? naye anajiunga na ACT au yalikuwa maongezi ya kibiashara?
 
Back
Top Bottom