Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Afande Sele (Seleman Msindi) ajiengua CHADEMA na kujiunga na ACT

Mwanamiziki Suleiman Msindi (Afande Sele) Asubuhi hii naye amejiengua CHADEMA na amejiunga pamoja na Zitto katika Chama cha ACT.

View attachment 236752

Hizi ID mpya zinatengenezwa kuonyesha kuwa wanaopenda vyama vya upinzani vilivyo na nguvu sio tu ni tishio kwa CCM bali pia kwa vyama rafiki na CCM hasa vile vichanga. Huna haja ya kuficha utambulisho wako kama kweli unachopost kina akili. Yanayoendelea sasa hivi katika siasa yanaviimarisha sana vyama vinavyoshambuliwa kama CHADEMA
 
Kama ni kweli basi huyo msanii ni mjanja, anajua atapiga pesa nzuri kwani atapata dili la kuzunguka nchi nzima kumpa Promo Zitto na ACT.
Soon kutatokea mgongano wa kimaslahi na wasanii wa Lekadutigite wanaotoka Kigoma.

Hapana huyo msanii ana ndoto za kuwa mbunge wa Morogoro mjini, sasa amepiga mahesabu akaona hapo kwenye UKAWA hapenyezi kwani CDM hawawezi kumpendekeza mhuni kama yeye kuingia kwenye kinyang'anyiro cha UKAWA. Halafu ameona CUF Morogoro iko moto, ameona akimbie na Zitto. Lakini ajue tu kuwa bunge letu tukufu haliwezi kukaliwa na mtu kama yeye.
 
Kweliryyyytyturryyty nchi hii bado tuna safari ndefu...unafuata mtu badala ya sera...

Ni kwel wapo wengi sana wataondoka hila chama kitazidi kuwa kimkakati na makini zaidi wengi wapo kimaslah zaid bado tuna safari ndefu kuelekea misimamo thabiti
 
Nenda wewe kanunueni mbona na ela zenu za mboba zile. kwanzan hadi sasa mmeweza kulikamata lile joka lenye makengeza?

Kajifunze kuandika kwanza maana ueleweki hata kidogo
 
Wananchi si wajinga wanajua kuwa CCM ilianzisha ACT kwa lengo la kudhoofisha harakati za kuing'oa madarakani, wanajua kuwa ACT wanaendeshwa kwa fedha za UFISADI, wanajua kuwa Mamluki wote wa CCM waliopandikizwa CHADEMA watatumiwa as a last resort kwani sera za CCM zimeshindwa kuwapatia maendeleo waliyokusudia!!! Sera, Ilani na Itikadi ya ACT ni Propaganda za kuiponda CHADEMA 24/7... Je propaganda hizo zitawaletea wananchi Maji, Umeme, Maisha bora, elimu bora, barabara nk?... Soon CCM wanajutia uamuzi wao wa kuanzisha ACT...
Naona mnaanza kujihami kudadek mtapatashida sana ngoja kesho kuche mtaona.
 
Mimi nashangaa kabisa,kuna watu ambao ni great thinkers humu ndani nao wanapoteza muda kumjadili afande Sele!.Hebu tujiulize madhara ya afande Sele kuingia huko ni nini,kama si zaidi ya faida kutoka humo.
Usipoteze muda mtu na akili yako kumjadili huyo,atajadiliwa na bongo movies na bongo flava wenzake.
Tafadhali bongo muvi na bongo flava msinitukane
 
Wengine watajiondoa lakin baada ya muda msije kuhangaikakurudi kinyumenyume

Haitatokea tz ikakombolewa na wasaliti, itapendeza kama zito leo ataondoka na kundi lake lote tujue tumebakai wakombozi wa nchi hii mikononi mwa mafisadi
zt usaliti alianza mda mrefu mno kiasi kwamba leo hawezi kuisemea cdm
kuna wilaya hapa tz utakuta mbunge wa ccm lakin madiwa karibia wote wa cdm mfano kahama, zto aendelee na utaratibu anaoutaka kwa sababu ndo njia aliyoichagua

Nawaasa wote walioweka misimamo yao kwa ajili ya ukomboz wa nchi wasiwe na sura mbili
tuendelee kuwa wamoja tuache makund ndan ya chama kimoja badala yake tuendelee kuwatumia wananchi kupata ridhaa ya uongozi bila kuvunja katiba ya chama au ya nchi!
 
CHADEMA kimekufa

ImageUploadedByJamiiForums1427026370.103402.jpg

Sawaaa
 
Wafuasi wa mtu wakimfuata mtu..!!!

Alijiunga Chadema kwasababu ya Zitto, anajiengua Chadema kwasababu ya Zitto..!! Zitto akijiengua Act naye atatoka na kwenda huko aakako kwenda kipenzi chake...!!!! Ajabu sana siasa za nchi hii

Kubwa zaidi ukimwambia akutajie japo kifungu kimoja ktk Katiba ya Act sidhani kama ataweza achia mbali kukutajia kifungu cha Katiba kwenye Chama alichotoka. Haya sasa muulize kilichomuondoa Cdm ni nini? Daaah hawa ndio wanasiasa wetu wa enzi hizi Shida kweli kweli..!!

Anyway kila lakheri huko uendako, Na Mungu akusaidie ktk ndoto zako kisiasa uje kupambana na mgombe Ubunge toka UKAWA na Abood toka ccm, naam ndoto zako zitatimia.

BACK TANGANYIKA

Hata Yesu wengi walimfuata sio kwa sababu ya mapenzi na dini ya wayahudi bali walimfuata yeye kama yeye..same applies to Mtume Mahmood
 
mwanasiasa mtarajiwa
 

Attachments

  • 1427027410884.jpg
    1427027410884.jpg
    20.2 KB · Views: 201
Back
Top Bottom