imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 46,674
- 71,052
Haya lete hizo HOJA ila acha VIOJA.Huwa hampendi kusikiliza hoja kinzani nyinyi CDM nyie ni madikteta kweli jikite kwenye hoja tuonyeshe ajenda ya CDM
Haya lete hizo HOJA ila acha VIOJA.Huwa hampendi kusikiliza hoja kinzani nyinyi CDM nyie ni madikteta kweli jikite kwenye hoja tuonyeshe ajenda ya CDM
May be he is tired because he is always damned when he take a stand and damned if he doesn'tI am not an Afande Sele fan. Not one bit.
Lakini, kuna vukao fulani nilikaa na Zitto awali mwakanhuu nika detect kama ana protectionism kwa huyu rais mpya.
Nikafikiri labda ni katika falsafa nzima ya "give her some time" tu.
Lakini kadiri muda unavyoenda simsikii Zitto.
Amekuwa compromised na mfumo?
Anaji compromise mwenyewe kwa kutaka ukaribu na serikali?
Anasema hatujasikia tu?
Mkuu, umeongea point ya muhimu sana. Nafikiri hii serikali ya umoja wa kitaifa ni factor kubwa sana. It makes a lot of sense Zitto kuwa hivyo kwa sababu hii.May be he is tired because he is always damned when he take a stand and damned if he doesn't
But reality ni kuwa kitendo cha kukubali kuingia kwenye serikali ya umoja wa Kitaifa kule Zanzibar kumerudisha nyuma harakati za kuibana CCM miaka 30 au zaidi.
Zanzibar ilikuwa imeisha kuwa kaa la moto kwa CCM,Ila akina Zitto wakaisiaidia kulipoza
Zitto ni mzee wa fursa, sasa hivi anaangalia upepo unakoelekea.
Zitto alishapoteza mwelekeo as a politician.Kabisa, mwanzoni kabisa Zito aliamini ana ushawishi mkubwa hivyo angeweza kufanya chama chake kiwe kikubwa kuliko cdm. Na kupewa support na ccm, aliamini atateka washabiki wote wa cdm. Ccm walikuwa wanamtumia kama backup ya kuia cdm.
Baada ya Magufuli kuingia madarakani 2015 akambadilikia kwani alikuwa hampendi, na kundi lililoiasisi ACT nyuma ya pazia akiwemo JK, Membe, Mwigulu, Nape nk wakawa ni wahanga wa siasa za Magufuli. Hali hii ilimfanya Zito kuwa mkosoaji mkubwa wa Magufuli, kwani alikatisha mlo na matarajio yake. Kwa sasa Zito ameamua kunyamaza, maana ni kama mama wa kambo anapenyezewa mpango wa kuipa ACT nguvu ya kuwa chama kikuu cha upinzani.
Ila tatizo kubwa ccm wameshajua na hata Zito mwenyewe ameshajua hana uwezo wa kuwa chama kikuu cha upinzani kwa huku Bara, na ACT huko Znz haijui ishike lipi kwenye serekali ya umoja wa kitaifa, kwani Maalim Seif Mungu wa Wapemba hayupo tena, na ccm bado inaendeleza uhuni wa kupora chaguzi.
Utabiri wangu kwakuwa Zito anaona umri unaenda, na ccm wanashindwa kukibeba chama chake, ni lazima ataingia ccm ili kupata cheo, au kurejea cdm ale matapishi jambo ambalo naona ni gumu kutokea.
Nasikia kule Zanzibar analipwa Mshahara na serikali ya Mwinyi kwa sababu ya kuwezesha lile deal la serikali ya umoja wa Kitaifa kufanyika. Bila hivyo Mwinyi alikuwa hakubaliki na Wazanzibari na angepata shida kutawala kule!Zitto alishapoteza mwelekeo as a politician.
Haaminiki kwa wananchi na haaminiki kwa wanasiasa wenzake.
Ni ngumu sana tena kurudisha imani hii kwa wananchi.
Nachoamini Zitto ni mwanasiasa mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja ila ana tamaa sana.
Zitto ni opportunist mzuri - hakuachii nafasi kama kuna upenyo wa madaraka na ngawila... si mvumilivu wa kisiasa hasa wakati wa changamoto.
Kwa sababu ni kiongozi wa chama cha siasa.Why watu Wana obsession na Zitto?
Mbona wa vyama vingine kama Chauma, TLP,Tadea, UDP hawafuatiliwi kiasi hiki?Kwa sababu ni kiongozi wa chama cha siasa.
Ukishakuwa kiongozi hivyo umejiacha watu wakufuatilie.
Kama zile za PAC kipindi cha MsogaNa FURSA pia Mkuu.
Usikute keshapewa kazi kimya kimya.....Zitto anaoma aibu au anaogopa kumgeuka mama, alishamsifia sana mwanzo, sasa hata yeye na chama chake wakitandikwa viboko kule Zanzibar anaangalia tu, kafungwa mdomo vibaya sana kwa kukubali kuwa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa.
Bwashee, Mwendazake alitekeleza karibu ajenda zetu zote zilizotupa umaarufu sasa unategemea tupate wapi ajenda mpya? 😂😂Siasa za matukio Zitto anapotea na CHADEMA vile vile mnapotea big time hamnaga ajenda nyie.....hasa za kiuchumi.
Sasa hivi mpo kwenye katiba mara free Mbowe...