Afande Sele: Awamu ya tano Zitto Alikuwa anapinga kila Kitu, leo yupo Kimya

Zito ni mchumia tumbo kama walivyo wachumia tumbo wengine. Kwa sasa anatafuta sehem ya kudandia ili watoto wake waende chooni.
 
I am not an Afande Sele fan. Not one bit.

Lakini, kuna vukao fulani nilikaa na Zitto awali mwakanhuu nika detect kama ana protectionism kwa huyu rais mpya.

Nikafikiri labda ni katika falsafa nzima ya "give her some time" tu.

Lakini kadiri muda unavyoenda simsikii Zitto.

Amekuwa compromised na mfumo?

Anaji compromise mwenyewe kwa kutaka ukaribu na serikali?

Anasema hatujasikia tu?
May be he is tired because he is always damned when he take a stand and damned if he doesn't

But reality ni kuwa kitendo cha kukubali kuingia kwenye serikali ya umoja wa Kitaifa kule Zanzibar kumerudisha nyuma harakati za kuibana CCM miaka 30 au zaidi.

Zanzibar ilikuwa imeisha kuwa kaa la moto kwa CCM,Ila akina Zitto wakaisiaidia kulipoza
 
Mkuu, umeongea point ya muhimu sana. Nafikiri hii serikali ya umoja wa kitaifa ni factor kubwa sana. It makes a lot of sense Zitto kuwa hivyo kwa sababu hii.

It's funny how this is so obvious and we have been overlooking it all along.
 
Zitto ni mzee wa fursa, sasa hivi anaangalia upepo unakoelekea.

Kabisa, mwanzoni kabisa Zito aliamini ana ushawishi mkubwa hivyo angeweza kufanya chama chake kiwe kikubwa kuliko cdm. Na kupewa support na ccm, aliamini atateka washabiki wote wa cdm. Ccm walikuwa wanamtumia kama backup ya kuia cdm.

Baada ya Magufuli kuingia madarakani 2015 akambadilikia kwani alikuwa hampendi, na kundi lililoiasisi ACT nyuma ya pazia akiwemo JK, Membe, Mwigulu, Nape nk wakawa ni wahanga wa siasa za Magufuli. Hali hii ilimfanya Zito kuwa mkosoaji mkubwa wa Magufuli, kwani alikatisha mlo na matarajio yake. Kwa sasa Zito ameamua kunyamaza, maana ni kama mama wa kambo anapenyezewa mpango wa kuipa ACT nguvu ya kuwa chama kikuu cha upinzani.

Ila tatizo kubwa ccm wameshajua na hata Zito mwenyewe ameshajua hana uwezo wa kuwa chama kikuu cha upinzani kwa huku Bara, na ACT huko Znz haijui ishike lipi kwenye serekali ya umoja wa kitaifa, kwani Maalim Seif Mungu wa Wapemba hayupo tena, na ccm bado inaendeleza uhuni wa kupora chaguzi.

Utabiri wangu kwakuwa Zito anaona umri unaenda, na ccm wanashindwa kukibeba chama chake, ni lazima ataingia ccm ili kupata cheo, au kurejea cdm ale matapishi jambo ambalo naona ni gumu kutokea.
 
Zitto alishapoteza mwelekeo as a politician.

Haaminiki kwa wananchi na haaminiki kwa wanasiasa wenzake.

Ni ngumu sana tena kurudisha imani hii kwa wananchi.

Nachoamini Zitto ni mwanasiasa mwenye uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja ila ana tamaa sana.
 
Nasikia kule Zanzibar analipwa Mshahara na serikali ya Mwinyi kwa sababu ya kuwezesha lile deal la serikali ya umoja wa Kitaifa kufanyika. Bila hivyo Mwinyi alikuwa hakubaliki na Wazanzibari na angepata shida kutawala kule!
Zitto hawezi kuwa sensible tena, he is compromised!
 
Zitto ni opportunist mzuri - hakuachii nafasi kama kuna upenyo wa madaraka na ngawila... si mvumilivu wa kisiasa hasa wakati wa changamoto.

Zito siku za nyuma alikuwa anawaambia cdm wafanye siasa za kistaarabu na hoja, siasa za kuvutana na ccm zilikuwa kama zinamkwaza Zito. Alipohamia kwenye chama chake na kina JK, Membe nk ndio amewajua ccm vizuri. Alitegemea huyu mama ataweza kuwashawishi ccm wamlegezee ndio maana akaamua kushiriki hizi chaguzi za kihuni, ila bado ccm wanaendeleza uhuni uleule, kibaya zaidi chama chake hasa huku Bara, hakina mvuto.
 
Zitto anaoma aibu au anaogopa kumgeuka mama, alishamsifia sana mwanzo, sasa hata yeye na chama chake wakitandikwa viboko kule Zanzibar anaangalia tu, kafungwa mdomo vibaya sana kwa kukubali kuwa kwenye serikali ya umoja wa kitaifa.
Usikute keshapewa kazi kimya kimya.....
 
Back
Top Bottom