Afande Sele alipata umaarufu mkubwa mwanzoni mwa miaka ya 2000. Jina la "Mfalme wa Rhymes" alilipata rasmi baada ya kushinda shindano kubwa la mtindo huru wa kurap (freestyle) nchini Tanzania lililokuwa linafanyika miaka hiyo, ambapo aliwagaragaza marapa wengi hatari wa zama hizo.
Nyimbo zake maarufu: Anafahamika kwa vibao vilivyobaki kwenye historia ya muziki kama Darubini Kali (akishirikiana na Dogo Ditto), Kazi Ijae, Mnyama Mkali, na Mtazamo (wimbo wa kihistoria aliofanya na Solo Thang pamoja na Professor Jay).
2. Mtindo wa Muziki (Conscious Hip Hop)
Tofauti na wasanii wengi wanaofanya muziki wa burudani tu, Afande Sele alijipambanua kama mwanamuziki wa harakati (Conscious Musician). Nyimbo zake nyingi zimebeba ushairi mzito wa Kiswahili, mafumbo, na ujumbe unaoelimisha jamii kuhusu umaskini, siasa, magonjwa (kama UKIMWI), na kupigania haki za wanyonge.
3. Maisha ya Kisiasa
Kama mwanaharakati, Afande Sele hakuishia kwenye muziki tu, aliingia pia kwenye siasa za ushindani:
Mnamo mwaka 2015, aligombea Ubunge katika Jimbo la Morogoro Mjini kupitia chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo (kipindi hicho kikiwa kiongozi wake mkuu ni Zitto Kabwe), ingawa kura hazikutosha kushinda.
Baadaye mnamo mwaka 2018, alitangaza rasmi kuacha upinzani na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Solo amekomaa kudai kwamba Afande Sele hakustahili kupewa Ufalme.
Kwangu hili sio issue sana kwa sababu hata mimi nilishangazwa Afande Sele kuwa zaidi ya Prof. Jay na Solo Thang. Afande hakuwa anawazidi chochote Jay na Solo. Lakini nikaamini wakati mwingine kuna mazali; Afande alipata Zali la...
Baada ya Msanii mkongwe wa Bongo Fleva, Selemani Msindi "Afande Sele" kutoa maoni yake kuhusu ratiba ya treni ya SGR kutokea Mkoano Morogoro kuelekea Dar es Salaam. ufafanuzi umetolewa na Shirika la Reli Tanzania (SGR).
Alichokisema Afande Sele kipo hapa ~ Afande Sele: TRC mliwaza nini kuondoa...
Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram Msanii Afande Sele, amechapisha:
"Kwa uongozi wa shirika letu la Reli,/TRC..😎
Mjumbe hauwawi na huu ndio ujumbe wenu kutoka kwa wananchi ambao ndio wamiliki halali wa shirika na nyinyi ni watumishi wao tu..🤔
Wananchi au mabosi zenu wanauliza tena...
Tanzania hawajawahi kufa kwa mkupuo kama vifo vya watoto wetu 29.10.2025. Ule haukuwa uchaguzi bali kutoa kafara watoto ili watu wakalie viti vya madaraka
Kuna watu wanadhani hii ishu ya tarehe 29 Oktoba 2025 itaisha.
Mtatuua, Mtatuteka, Mtatuziba midomo, lakini milele tutawakumbuka. Hamtaweza...
Wengi wetu, wazazi wetu walishatangulia mbele za haki. Kwa hiyo tunabaki tunayaishi yale mafundisho mazuri waliotuelekeza na kama kuna ambao hawakutuelekeza, basi tunafundishwa na dunia. Lakini ni siku nzuri kujadili masuala ambayo pengine ni ya msingi sana mustakabali wa taifa, jamii, familia...
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Katambi amempa onyo kali sana kwa Msanii Afande Sele baada ya kujirekodi video akitoa kauli pia akimwambia asifanye mzaha.
Soma Pia: Afande Sele: Si sahihi Waziri Katambi kumuita Dudu baya kwenye Meza walipokaa wenye tuhuma za Ushoga
Afande Sele amehoji inakuwaje wasanii eanaunganishwa na watu wasio na maadili kama mashoga akina Anko T, Juma Lokole, Noela n. K,
Hii inawafanya jamii ione kama usanii na Mziki kuonekana ni kitu kimoja na matendo ya ushoga
Ndo maana mtu makini kama Dudu baya alikaidi wito wa Katambi
Pia...
Wote tunajua Dudu baya anapinga ushoga kwa kauli mbiu ya You better watch your back
Afande amekosea kitendo cha Waziri wa mambo ya ndani, kuwaita mashoga kwamba ni Wasanii na akawaita wakutane naye. Humo humo kwenye mashoga akaita na wasanii ambao ni kioo cha jamii. Pia kuna watu si wasanii...
Msanii wa Bongo Fleva Selemani Msindi(Afande Sele), amesema Tarehe 7/7/2026 kulikuwa na Utulivu sio amani.
Amesisitiza watu wapewe kilichofanya watake kuandamana.
Kasema wanaingiziwa Posho na Mishahara ndo Wanasema kulikuwa na amani. Lakini wanaotegemea miguu ili kula wanasema kulikuwa na...
WATU PORI - USINICHUKIE
Afande sele.( Verse)..
"inshallah kama umenisamehe
Kama bado basi Ewallah
Yote namuachia Allah
Kwani tulipo , Tupo kwa vile ametaka Tuwepo/
Anatupenda Sawa sawa kabisa/
Wote anatupa Mvua,misikiti na makanisa/
Na wote anawapa jua masikini na Wenye pesa/
Kama kuvuta...
Msanii Afande Sele ametoka hadharani na kumtaka Rais wa amhuri ya Muugano wa Tanzania kutumia busara, imani yake na malezi kuona ni kwa namna gani atalifariji taifa kwa kile kilichotokea katika kipidni cha uchaguzi.
===
Mwanamuziki na mfalme wa mashairi Tanzania, Selemani Msindi, maarufu kama...
Msanii wa muziki wa Hip Hop Selemani Msindi maarufu Afande Sele amesema kundi la watu wanaotaka kuandamana siku ya Oktoba 29 wana hoja zenye nguvu,mashiko na hoja za msingi na huwezi kuzipuuza lakini zimekuja katika wakati ambao sio sahihi, amesema hata CCM katika ilani yao wana kipengele cha...
Mwanamuziki wa Hiphop, Selemani Msindi Afande Sele amewataka Watanzania hususani vijana kuacha kuwa na mihemko ya kushiriki maandamano badala yake washiriki Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025, akisisitiza kuwa kutoshiriki ni kujinyima haki ya kikatiba.
Akizungumza na JAMBO TV...
Ni kuhusu Jimbo la Kigoma mjini.
Ukweli wa ukweli ni kwamba, Zitto analihitaji zaidi Jimbo la Kigoma mjini kuliko wakati wowote ule wa maisha yake ya kisiasa, lakini Jimbo la Kigoma mjini, linamuhitaji zaidi Baba Levo kwa maslahi ya watu wote wa mkoa wa Kigoma na sio Kigoma mjini pekee kuliko...
Huyu jamaa kila ukiingia kwenye page yake ya instagram ni mwendo tu wa kumsifia mke wake mpya. Pigo zile za kishamba kama za Manara.
Siku yakimkuta naamini atalia zaidi ya alivyolia kwenye msiba wa Magufuli.
Anaandika Afande sele ,✍.
Eti chama chake "magirini" kimempitisha tena kuwa mgombea urais mwaka huu2025...😳
Hii ni kudhalilisha siasa sio za upinzani tu,ila siasa za nchi na bara zima la Afrika au Dunia nzima✊🏽
Inaonyesha ni kwa kiasi gani baadhi ya wanasiasa wamejaa tamaa na ubinafsi hata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.