Zitto Kabwe awamu hii yupo kimya sana. Lissu naye anaonesha kumkubali Magufuli

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Ufisadi, rushwa, uzembe, ucheleweshwaji miradi, mfumuko wa bei kila kona lakini Zitto Kabwe yupo kimyaaa! Awamu hii ya 6 X (twitter) ya Zitto Kabwe imepoa kama maji ya mtungi.

Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dar es Salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli, kitendo cha Lissu kusema Hayati Magufuli hahusiki na mikataba ya hovyo ya nchi yetu imeonesha anamkubali linapokuja suala la uzalendo usiotia shaka katika kulinda rasilimali za nchi.

Tundu Lissu amebakiza kwenda Chato kulia kwenye kaburi la Magufuli na watanzania watamwamini na kumfanya awe Rais wao wa awamu ya 7.
 
Ufisadi, rushwa, uzembe, ucheleweshwaji miradi, mfumuko wa bei ni kila kona lakini Zito kabwe yupo kimyaaa! Awamu hii ya sita Twiter ya zito kabwe imepoa kama maji ya mtungi.
Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli, kitendo cha Lissu kusema Hayati Magufuli hahusiki na mikataba ya hovyo ya nchi yetu imeonyesha anamkubali linapokuja swala la uzalendo usiotia shaka katika kulinda rasilimali za nchi.

Kwani Magufuri ni nani Tanzania hii?
 
Wachawi wa nchi ni wananchi wenyewe. Zitto na lissu hata wao muda mwingine wanachoka kuwapigania majitu ambayo ni sawa na mizigo haijitingishi kila kitu hewalaa
 
Ufisadi, rushwa, uzembe, ucheleweshwaji miradi, mfumuko wa bei ni kila kona lakini Zito kabwe yupo kimyaaa! Awamu hii ya sita Twiter ya zito kabwe imepoa kama maji ya mtungi.
Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli, kitendo cha Lissu kusema Hayati Magufuli hahusiki na mikataba ya hovyo ya nchi yetu imeonyesha anamkubali linapokuja swala la uzalendo usiotia shaka katika kulinda rasilimali za nchi.

Tundu Lissu amebakiza kwenda Chato kulia kwenye kaburi la Magufuli na watanzania watamwamini na kumfanya awe Rais wao wa awamu ya 7.
So what?
 
Yaani man huwa sijui kwa vile ulimpenda JP na wa Tz wote tulimpenda. Hakuna takataka kama yule
 
Zito kabwe ataongea nini cha kumpinga mzanzibar samia, wakati chama chake cha ACT kimebase sana zanzibar kwa siku za karibuni, nahuko ndiko anakotoka mzanzibar samia nawazanzibar huwaambii kitu kuhusu samia wao...we huoni hata vuguvugu za zanzibar kujitenga zimepotea baada ya samia kushika madaraka....zito kabwe akianza kumponda mzanzibar samia chama chake cha ACT kitapoteza wafuasi wengi kule zanzibar...zito kabwe ni mwanasiasa na siasa ni mchezo wakutumia akili,
 
Ufisadi, rushwa, uzembe, ucheleweshwaji miradi, mfumuko wa bei ni kila kona lakini Zito kabwe yupo kimyaaa! Awamu hii ya sita Twiter ya zito kabwe imepoa kama maji ya mtungi.
Alichokifanya Tundu Lissu katika mazungumzo ya ufisadi wa bandari ya Dares salaam kuhusu JPM ni dhahiri kwanza hamchukii JPM pili ni mzalendo wa kweli, kitendo cha Lissu kusema Hayati Magufuli hahusiki na mikataba ya hovyo ya nchi yetu imeonyesha anamkubali linapokuja swala la uzalendo usiotia shaka katika kulinda rasilimali za nchi.

Tundu Lissu amebakiza kwenda Chato kulia kwenye kaburi la Magufuli na watanzania watamwamini na kumfanya awe Rais wao wa awamu ya 7.

So tatizo lao ni kukaa kimya tu ? Wenye madaraka na mamlaka ya kufanyia kazi hayo matatizo wanafanya kazi gani?
 
Zito kabwe ataongea nini cha kumpinga mzanzibar samia, wakati chama chake cha ACT kimebase sana zanzibar kwa siku za karibuni, nahuko ndiko anakotoka mzanzibar samia nawazanzibar huwaambii kitu kuhusu samia wao...we huoni hata vuguvugu za zanzibar kujitenga zimepotea baada ya samia kushika madaraka....zito kabwe akianza kumponda mzanzibar samia chama chake cha ACT kitapoteza wafuasi wengi kule zanzibar...zito kabwe ni mwanasiasa na siasa ni mchezo wakutumia akili,

Ni wanafiki sana
 
Namshangaa Lissu kwenye hili la kumsifia Dikteta aliyetaka kumuua,sisi CHADEMA ni WanaDemokrasia tuna haki ya kuulizana.
 
Back
Top Bottom