Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 15,462
- 25,405
Haukushusha saundi mkuuu
Haukushusha saundi mkuuu
Wanajf sio mbaya kwa wale waliokuwa hawajui wakajuwa
Maana hii nyumba ni yetu sote bujibuji ni mwanamke mwenye makalio makubwa tena malaiiini sana na akitembea yanatetemeka sana
Akinyeshewa mvua ni balaaa au akitoka bafuni na kanga moja akiwa na majimaji mwilini
Cha ajabu avatar yake ni maarufu hapa jf na niyakiume kwanini mtoto mzuri kama bujibuji anaweka avatar ya kiume?
Kumbe kuna wanaume wengi pia wanatumia avatar za kike
Huu ni muda wa kuwaweka wazi kwa wale wanaowajuwa kama nilivyofanya kwa baby bujibuji.
Nimekoma kutongoza ID za kike zenye posts za micharuko. Hatari sana mzee. Sikumbuki kama sijamtongoza giLESI kumbe ni njemba nayopiga nayo ulabu weekend. Keimamae walah...
Acha masihara komredi.Hii mara ya pili inanitokea kuna member Zamani alikuwa anajiita mwanamtama...nae ni mshikaji wako pia ..hatari
Hii thread ililetwa na mdada anaitwa Gilesi mbona mnatuchanganya kizembezembe ivi.
Ngoja nikadelete PM kuondoa ushahidi.