Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,444
- 29,848
Huyo BUJIBUJI mwenyewe yupo kimya kabisa, kumbe yasemwayo juu yake ni KWELI...
Ule uzi wa bujibuji a.k.a Gilesi nahisi nilituma PM....Ngoja niangalie mafail yangu....
Nakumbuka kipindi kile sredi ilianzishwa kujua jinsia ya Kongosho.....
Huyu alikuwa ana-switch jinsia zote...Kunasaa comment ni za kike na kunasaa comment zake nizakiume..
mkuu tedo sema intelejensia ya MMU ni mbovuu.. kule jukwaa la elimu watu walileta hadi picha za mpigamsuli
Huyo BUJIBUJI mwenyewe yupo kimya kabisa, kumbe yasemwayo juu yake ni KWELI...
mimi hadi akiniomba msamaha kwenye PmNilikuwepo siku ile.....Yani nilikesha na ule uzi...
mkuu tedo sema intelejensia ya MMU ni mbovuu.. kule jukwaa la elimu watu walileta hadi picha za mpigamsuli
Wanajf sio mbaya kwa wale waliokuwa hawajui wakajuwa
Maana hii nyumba ni yetu sote bujibuji ni mwanamke mwenye makalio makubwa tena malaiiini sana na akitembea yanatetemeka sana
Akinyeshewa mvua ni balaaa au akitoka bafuni na kanga moja akiwa na majimaji mwilini
Cha ajabu avatar yake ni maarufu hapa jf na niyakiume kwanini mtoto mzuri kama bujibuji anaweka avatar ya kiume?
Kumbe kuna wanaume wengi pia wanatumia avatar za kike
Huu ni muda wa kuwaweka wazi kwa wale wanaowajuwa kama nilivyofanya kwa baby bujibuji.
Mkuu intelijensia ya Elimu ni kiboko ilimfukunyua mpiga msuli a.k.a Advocate J.
Unasema?????!!!!
Unasema?????!!!!
mimi hadi akiniomba msamaha kwenye Pm
Ilikuwa ni hataree...
Mkuu intelijensia ya Elimu ni kiboko ilimfukunyua mpiga msuli a.k.a Advocate J.