Aayaaah BUJIBUJI kumbe ni wa KIKE

Aayaaah BUJIBUJI kumbe ni wa KIKE

Nakumbuka kipindi kile sredi ilianzishwa kujua jinsia ya Kongosho.....

Huyu alikuwa ana-switch jinsia zote...Kunasaa comment ni za kike na kunasaa comment zake nizakiume..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Duh mpaka akitoka bafuni na khanga moko! Inamaana kushnei, margea sala!

Bujibuji kushnei,,, jamaa kala vyake na kabainisha Kila kitu....

Dunia hii Majanga.
 
TATIANA pita huku my love usikute uliwahi nisaliti kisa swaga za demu mwenzio Bujibuji
 
Last edited by a moderator:
Chinekeeeeeee!!!!!

ImageUploadedByJamiiForums1398702032.922356.jpgbujibuji akiwa ana petiwa petiwa makalio yake.
 
Nakumbuka kipindi kile sredi ilianzishwa kujua jinsia ya Kongosho.....

Huyu alikuwa ana-switch jinsia zote...Kunasaa comment ni za kike na kunasaa comment zake nizakiume..

Ina maana ana ile jinsia ya TATU iliyotambuliwa India hivi majuzi?? Yaani ana u-mwanaume katika mwili wa kike (au vice versa)???
 
Huyo BUJIBUJI mwenyewe yupo kimya kabisa, kumbe yasemwayo juu yake ni KWELI...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom