Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,392
- 96,718
Hahahahahaaa pole yako, ulikuwa unakimbiza kalio hahaaaaaa
We acha tu. Hata wewe sitakutongoza tena.
Hahahahahaaa pole yako, ulikuwa unakimbiza kalio hahaaaaaa
Nimekuachia Bantu lady, nahofia asije akawa The Boss ikala kwangu.
Hahahahhaahahaha umenichekesha mkuu hapa napiga picha ulivyokuwa unashusha sonud kwa dume mwenzioWengi tulimtongoza gilesi..kumbe dume duh.....
We acha tu. Hata wewe sitakutongoza tena.
Usipate shida fanya utafiti ukianzia hapa https://www.jamiiforums.com/mahusia...fanyeje--------yasitingishike-nitembeapo.htmlMe nitaaminije???