Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,441
- 29,845
lusungo kuna huyu boflo ni jinsia ganii huyuuu aiseee
Huyu pia lazima akaliwe kitimoto..
Last edited by a moderator:
lusungo kuna huyu boflo ni jinsia ganii huyuuu aiseee
Huyu pia lazima akaliwe kitimoto..
huyo mbona ilishsjulikana mkuu? au hukuwepo?
Karucee,,na haya makalio yanayovibrate hata akivaa tight?!!Mkague vizuriBujibuji ni ME.
Physical examination conducted.
Je mzabzab nae vipiii????
Hahahaha huoni siku hizi kapoa?
huyo mbona ilishsjulikana mkuu? au hukuwepo?
ukiwa humu kuwa mkweli tu otherwise utaaibika.
Sidhanii boflo ni mwanaume tenaa ni..............
hahaaa, jf kiboko. ama kweli uwongo ni kazi, lazima siku moja utaumbuka tu!
lakini Bujibuji ?!! staki kuamini kwamba wewe ni mwanamke mkuu, kama ni kweli basi wewe ni mwanamke wa shoka tena mwenye maono mapana sana, kwa heshima na taadhima kabisa ningeomba kufahamiana na wewe lau nikuone.
Natanguliza shukrani.
Hahaha jamaa ana ID mbili. Alichofanya mod ni kuzimerge na zote kutumia ID ya kwanza. Inaelekea Mod alitongoza sana giLESI alivostuka ni njemba akaamua kumuumbua.
huyo mbona ilishsjulikana mkuu? au hukuwepo?
Ha ha ha haaah.......hiki kizungumkuti.Ni kweli kabisa ushahidi Upo hapa, https://www.jamiiforums.com/mahusia...fanyeje--------yasitingishike-nitembeapo.html