Boflo ,Mpole sana na Secret ni mapunga.
Ewaaaa hivyo hivyo
Boflo ,Mpole sana na Secret ni mapunga.
Jerrymsigwa pita huku tafadhali
Eee hapahapa mjini
Mashallah mtoto kaumbika sana
Ha ha ha haaah.......hiki kizungumkuti.
Aisee unakumbuka grace aliejaaliwa aliletaga post kumlalamikia mumewe? Ebwana tulitiririkamo PM acha kabisa na ile ya gilesi usiseme kwakweli the way alivyokuwa akichangia yule ni KE dume huwezi kuwa vile
lusungo nimekuja mbio sana...kunani hapa hebu ni brief kiduchuHahahaha mkuu bado kuna sintofahamu coz jinsia zote amezitendea haki kwa ID zote labda Bujibuji aje aseme dhahiri yeye ke au me..
CC: DEMBA Evelyn Salt Madame B SHIEKA Ngalikihinja asakuta same grafani11 a.rahabu Heaven on Earth et al
Hahahahaaaaaaaaaa lusungo kwanza na wewe kuna watu wana mashaka na uraia wako!!
lusungo nimekuja mbio sana...kunani hapa hebu ni brief kiduchu
Namjuwa vema sana mpaka kwo napafahamu
Soma hapa kisha urudi na uthibitisho dhahir
https://www.jamiiforums.com/mahusia...yasitingishike-nitembeapo-14.html#post9383865
Bujibuji Mzee wa mkono sweta imedhihirika ni KE mwenzio alikuwa akijiita GiLESI sasa acc zimeunganishwa na kwakuanzia soma hapa...
https://www.jamiiforums.com/mahusia...yasitingishike-nitembeapo-14.html#post9383865