mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 30,839
- 37,519
bahati mbaya samia hana time na chawa wanaojipendekeza kama nyinyi,Nenda kalifukue muliweke sehemu muwe mnaesujudia k.enge nyinyi, now Rais Samia, uyo mungu wenu kashaoza kabaki mifupa
bahati mbaya samia hana time na chawa wanaojipendekeza kama nyinyi,Nenda kalifukue muliweke sehemu muwe mnaesujudia k.enge nyinyi, now Rais Samia, uyo mungu wenu kashaoza kabaki mifupa
Kalifukueni mliweke sehemu muwe mnalisujudia,, mungu wenu kashaozaAm still wondering why our dude gone so early. It's very painful
shetani yule, kaumiza watu wengi sana,Magufuli was the best president of our times.
Hata ingekuwa kwa siku moja sio mbaya. Ila situationi ndio siielewi.Kwahio ulitaka tuendelee kuomboleza kwa muda gani?
na bahati nzuri awamu ya sita haitaki isujudiwe Kama enzi za mungu wenu mjingabahati mbaya samia hana time na chawa wanaojipendekeza kama nyinyi,
Nia njema ukichanganya na uovu daima uovu hufunika nia njema. Pan africanism yes Magufuli alionesha kwa maneno na kidogo matendo. Huyu angeweza kuungana na upinzani kabisa kama asingeficha uovu mchafu katika kivuli cha nia njema.Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniumaa sana. Nawaza hivi kwa nini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu.
Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani.
Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa. Lakini hilo wasioitakia mema nchi yetu halikuwapendeza kwa kuwa alizuia maslahi yao yaliyopatikana kwa njia haramu.
Watu wengi walijitokeza kumpinga lakini yeye hilo alikumkatisha tamaa alizidi kuitumikia nchi yake Tanzania kwa uzalendo wote mpaka pale walipofanikisha adhma yake. Leo wanatamba. Eti legacy ijitetee.
Ukitazama mazingira ya kifo chake kwa kweli sio siri yanasikitisha. Ni kama vile kuna kitu nyuma yake ambayo ilikuwa a long plan ambayo ilihusisha kupoteza roho za watu wengi wasio hatia ili kutimiza lengo lao ionekana ni normal case but i think is not okay.
But i believe kama ni mipango ya watu walitakalo halitafanikiwa.
Tazama: inafikirisha sana tangu afariki Magufuli Matangazo ya Tanzia yamekwisha, is this a coincidence au? Au planned to justify someone death..??
Hapana waliohusika it's better watafutwe haiwezekani wao ndio wawe wanatuamulia nchi iweje..!
Narudia tena haiwezekani, Tanzia Tanzia Tanzia, then kimya ina maana ile Corona iliokuwa ikiua viongozi sasa imekwisha au tuingoje hata lini..? There is something fish planned and not a coincidence. Sure.
I'll always remember Hayati JPM.
I'm ready kupopolewa na Ufipa.
Muwe na usiku mwema.
Au nasema uongo ndugu zangu?Kwanini huamini kwenye kile unachokisema? Jenga hoja acha kijihami, tafuta kuna Uzi wa MATAGA humu unaeleza kuwa Magufuli alikiri Mara kadhaa kuwa ni mgonjwa!
Nakushauri watafutie wanao ugali, Magufuli tulimpenda ila ameshapumzika, maisha lazima yaendelee na Mungu akutie nguvu utoke kwenye hii denial
Sho.ga ww umuue nani nchi hii ke.nge weweTime will tell, nimeshajiapiza moyoni mwangu, endapo itajulikana wazi kabisa alomuua rais wangu. Basi mimi binafsi kwa juhudi zangu binafsi na kwa njia yoyote ile uchawi, ama hadharani, lazima nimuue.
Mimi sio mchawi ila nitautafuta kwa gharama yoyote popote hapa duniani ili niue ikiwezekana kwa mkono wangu mwenyewe
hao wa viroba wataendelea kuwepo.Nia njema ukichanganya na uovu daima uovu hufunika nia njema. Pan africanism yes Magufuli alionesha kwa maneno na kidogo matendo. Huyu angeweza kuungana na upinzani kabisa kama asingeficha uovu mchafu katika kivuli cha nia njema.
Kwamba mabeberu wanamezea mate raslimali zetu? Ni kweli kabisa! Kwamba mikataba ya madini na mikataba mingine ni ya kinyonyaji? Ni kweli kabisa! Kwamba Africa na Tanzania inao uwezo wa kuendelea bila kutegemea mabeberu? Ni kweli kabisa!
Lakini kwa nini uue wanaokupinga bila sababu?
Kwa mara ya kwanza watu wanaokotwa ufukweni katika viroba wakiwa wametwezwa zaidi ya mbwa!
Kwamba akina Ben Saanane na azori walifanya kosa gani?
Tundu Lissu kwa mtizamo wake ninavyomfahamu ni pan africanist mzuri kabisa na angeweza kumsaidia huyu mwendazake vizuri kabisa. Kwani mfano aliposhauri tupiganie kubadilisha sheria za kimataifa kuhusu madini na raslimali zetu alifanya kosa gani la kumsababishia kifo?
Kama kweli huyu alikuwa na nia njema basi watendaji wake waliingiliwa na mabeberu kuwezesha kujenga chuki dhidi yake kwa kutenda uovu usiomithilika kwa niaba yake. Na kwani ni hakukemea hayo?
Kama mnataka tuwaelewe! Chunguzeni ule unyama na uovu dhidi ya ubinadamu mkianzia na kutoweshwa kwa Ben na Azori na baadaye kujeruhiwa kwa TAL.
Kamateni Bashite na Ally Hapi, na TISS watuambie ni nani aliyewatuma waiharibu nia njema ya SHUJAA.
Kama aligusa masilahi yako lazima umuone hivi... Lakini ukweli unabaki palepale he was truly the best.shetani yule, kaumiza watu wengi sana,
toa mfano mtu mmoja.Mnarudi kwenye manumbu na kunywa mikojo ya ngombe kama maji. Chato airport a nice abattoir!
tutawafilimba tu,hatuwezi acha mnapakaza matope taifa kwa faida zenu binafsi za kisiasa.Sho.ga ww umuue nani nchi hii ke.nge wewe
Kuua "wajinga wajinga "Basi aachwe atafunwe na funza tu hakuna cha legacy wala nini. Tuliobaki tunatamka kuwa mwendazake ni wa kuchimbuliwa na kumiminiwa risasi 38 afe kabisa>hao wa viroba wataendelea kuwepo.
si kwa sababu nyumbu wanalalamika,no ni sababu ni waharifu kama wengine wa kustahili adhabu hiyo.
usichojua ni kwamba kuna mambo rais hupelekewa ripoti tu.na hana maamuzi nayo moja kwa moja kama hilo la kuua wajinga wajinga.
Sasa safari hii tutahakikisha wasukuma amshiki hata ujumbe wa nyumba kumi ken.ge nyinyitutawafilimba tu,hatuwezi acha mnapakaza matope taifa kwa faida zenu binafsi za kisiasa.
tutawafirigisa.
Bila shaka wew ni Musiba,sadist!!Kwamba utamuua Mungu kwa kumchukua Jiwe?Wew ni egoistic and selfish,you are mentally sick!!!Haina maana ulimpenda sana ila ulinufaika na utawala wake hakuna upendo hapa na huu ndio ukweli mnajibalaguza tu kinafiki huku mkifikiria maisha yenu baada ya yey kufa.Hivi umewahi fikiria walioumizwa na utawala wake?Wew ni mnafiki na mbinafsiTime will tell, nimeshajiapiza moyoni mwangu, endapo itajulikana wazi kabisa alomuua rais wangu. Basi mimi binafsi kwa juhudi zangu binafsi na kwa njia yoyote ile uchawi, ama hadharani, lazima nimuue.
Mimi sio mchawi ila nitautafuta kwa gharama yoyote popote hapa duniani ili niue ikiwezekana kwa mkono wangu mwenyewe
wasukuma hawajawahi kuwa majority kwenye uongozi hapa nchini.Sasa safari hii tutahakikisha wasukuma amshiki hata ujumbe wa nyumba kumi ken.ge nyinyi
ubunge kitu gani we kuku wa kienyeji! Wenzio tunafurahia ukombozi ulioletwa kutoka juu mbinguni. Nchi nyingine katika hali ile huingia vitani kumwaga damu lakini siye Muumba wetu ameshuka mwenyewe kukatilia mbali muuaji mkuu! Na yajayo yanafurahisha--- Ngoja niwahi church kushukuru miye wakorintho waendeleze ukorintho aka ukahabatoa mfano mtu mmoja.
bashiru kapewa ubunge,wewe nyumbu unadhani anakwenda kuchunga ng'ombe