Kama ni kweli Rais huyu dhaifu atakuwa anakosea sana,ni mapema mno kwake kufanya hivyo Hapo MMC pako hot sana,yote haya ni kutokana na kuwa na washauri dhaifu pia.anataka kujikosha halafu aseme atapelekwa india ili wakammalizie huko Ashindwe na alegee na adondoke chini akikanyaga maeneo ya muhimbili.
si shaka mheshimiwa atakuja na usalama wengine ambao nao watataka kumpa pole kwa kumgusa gusa. teh teh teh teh