Nasikia Dr Ulimboka alikuwa Jolly alipofikwa na maafa haya ni kweli?
Wanajamvi
Nimesikia kuwa J Kikwete anategemea kwenda kumuona Dr Ulimboka Mchana huu
Stay tuned
Madaktari waache Politics wakafanye kazi zao. Tulipokuwa tunasoma kila mtu alichagua njia yake ya maisha kwa sababu mbali mbali sitaki kuamini kwamba motivation yao ilikuwa ni mapesa tu!
haya ni matatizo ya kuangalia tamthilia za Thailand!!!!If they wanted him DEAD, he'd be dead by now, na mngekuwa mnaongea mambo mengine kabisa.......probably, they still need him for something..........the big question is wat is it??
and kimtazamo wangu, 1st, wat has bin done to him isnt fair, Unless, he(ulimboka) framed it....najua kwa hili, wengi mtanilaumu, but mkisoma stories nyingi kama hizi, mtaona, ulimboka hatokuwa wa kwanza, kufake something like this, but FOR GOOD REASONS..............cause, seriously, kama wangetaka afe, angekufa longtym........
2dnly, killing one person for the benefit of two or more people, i find it reasonable................
Madaktari hawapo katika kutetea huduma za afya wangekuwa wanatetea kuboreshwa huduma wasingekuwa wanagoma kuacha watu wafe. Wao wapo ki maslahi binafsi!
Madaktari waache Politics wakafanye kazi zao. Tulipokuwa tunasoma kila mtu alichagua njia yake ya maisha kwa sababu mbali mbali sitaki kuamini kwamba motivation yao ilikuwa ni mapesa tu!
Utasikia kujikosha anajidai serikali itagharamia matibabu yake apelekwe India..... hiyo ni baada ya kuona huyo bwana hakufa..... Madaktari kataeni asimwone... kwanza kwa hali yake hatakiwi kuonana na watu...wanaweza kumsababishia ugonjwa zaidi.