Utasikia kujikosha anajidai serikali itagharamia matibabu yake apelekwe India..... hiyo ni baada ya kuona huyo bwana hakufa..... Madaktari kataeni asimwone... kwanza kwa hali yake hatakiwi kuonana na watu...wanaweza kumsababishia ugonjwa zaidi.
Madaktari hawapo katika kutetea huduma za afya wangekuwa wanatetea kuboreshwa huduma wasingekuwa wanagoma kuacha watu wafe. Wao wapo ki maslahi binafsi!
Madaktari hawapo katika kutetea huduma za afya wangekuwa wanatetea kuboreshwa huduma wasingekuwa wanagoma kuacha watu wafe. Wao wapo ki maslahi binafsi!
Nasikia Dr Ulimboka alikuwa Jolly alipofikwa na maafa haya ni kweli?
Yap!! tena giza tororo!! ... But namqoute tena mdau mmoja aliyemqoute Gandhi!! ... Huwezi kuficha 3 things;Jua, Mwezi na Ukweli!! ... All will be known and avenged!
weredi kidogo unakusumbua, watabibu wanahitajika kwa afya yako ya ubongo.Madaktari hawapo katika kutetea huduma za afya wangekuwa wanatetea kuboreshwa huduma wasingekuwa wanagoma kuacha watu wafe. Wao wapo ki maslahi binafsi!
wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.
Unaweza kumkatalia mkuu wa nchi hasimuone mwananchi wake? sijui! Hata hivyo, huo si uamuzi wa maDaktari kumkatalia Rais kwenda kumuona Daktari mwenzao..bali ni uamuzi wa Dr Ulimboka mwenyewe na familia yake. Au Daktari mwangalizi wa Ulimboka anaweza kataa kwa misingi ya kitabibu kuwa mgonjwa wake hana hali nzuri kiasi cha kutembelewa!
Msalimie Boflo, nasikia mlikuwa wote usiku kucha.wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.
Wanajamvi
Nimesikia kuwa J Kikwete anategemea kwenda kumuona Dr Ulimboka Mchana huu
Stay tuned
Ni dhambi kubwa pia kuwa mnafiki,hivi anaenda kumuona ili iweje,wakati vijana wake ndio wametekeleza unyama huo?mi naomba tafuteni sababu zozote asiweze kumuona,au la mjipange kwa wingi sana na muandae mabango makubwa sana yenye kuonyesha namna gani serikali yake imeshiriki,namna gani waziri mkuu wake anavyoropoka,na ni namna gani alivyoshindwa kuingoza nchi na bila kusahau kuandika bango la Udhaifu wake udhaifu wa bunge na upuuzi wa bunge huku mki quote kauli ya Mnyika.
Wewe ndio amekutuma umetetee? yaani wewe ndio unamjua sana, kwani nani kasema ni mtu wa visasi?