tabu kuishi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2011
- 353
- 44
Acha kuonyesha ujinga wako kama hiyo serikali yako, wenyewe hawaaminiani nani atawaamini,kama kweli hao watu wapo wangeanza na serikali yao ambayo inasababisha kuwa na maisha magumu ambayo inapelekea mdr kugoma,wao kosa lao lipo wapi?kudai haki ya msingi?Inawezekana na wewe freemason umehusika?Wezi wakubwa mnataka siku zote watu waone cheupe cheusi,cheusi cheupe,watu wakiona sawa2 inakuwa tabu,sasa mwisho wa siku wamesaidia nini baada ya kumuumiza?ndugu zao wametibiwa pumba........................Wewe mvivu wa kufikiri, serikali haiwezi kufanya mbinu dhaifu kama hiyo, bila shaka system inawatu waliofundishwa kufanya hivyo kwa ustadi mkubwa na sio Tanzania tu, nchi zote duniani zina watu hao. Serikali haiwezi kumuua mtu na kuacha 'traces" rahisi hivyo. Kumbuka hawa madaktari wamesababisha watu wengi kufukuzwa kazi, wengi wamefiwa na ndugu zao wapendwa wakati wa mgomo, sasa kwanini hamkuanzia hapo. Unakurupuka na kuishtumu serikali, mawazo yaleyale ya chuki kama yakina Kijo Disimba. Usiwe mchovu wa kufikiri, tumia kichwa kuamua sio moyo