Optimisticforchange
Member
- Apr 29, 2012
- 43
- 5
we mtoto wa pinda nini? Umetumwa?
Madaktari waache Politics wakafanye kazi zao. Tulipokuwa tunasoma kila mtu alichagua njia yake ya maisha kwa sababu mbali mbali sitaki kuamini kwamba motivation yao ilikuwa ni mapesa tu!
wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.

Unaweza kumkatalia mkuu wa nchi hasimuone mwananchi wake? sijui! Hata hivyo, huo si uamuzi wa maDaktari kumkatalia Rais kwenda kumuona Daktari mwenzao..bali ni uamuzi wa Dr Ulimboka mwenyewe na familia yake. Au Daktari mwangalizi wa Ulimboka anaweza kataa kwa misingi ya kitabibu kuwa mgonjwa wake hana hali nzuri kiasi cha kutembelewa!
Wewe mvivu wa kufikiri, serikali haiwezi kufanya mbinu dhaifu kama hiyo, bila shaka system inawatu waliofundishwa kufanya hivyo kwa ustadi mkubwa na sio Tanzania tu, nchi zote duniani zina watu hao. Serikali haiwezi kumuua mtu na kuacha 'traces" rahisi hivyo. Kumbuka hawa madaktari wamesababisha watu wengi kufukuzwa kazi, wengi wamefiwa na ndugu zao wapendwa wakati wa mgomo, sasa kwanini hamkuanzia hapo. Unakurupuka na kuishtumu serikali, mawazo yaleyale ya chuki kama yakina Kijo Disimba. Usiwe mchovu wa kufikiri, tumia kichwa kuamua sio moyo
Hapo red unamaanisha nini?wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.
Hebu fikiria, ung'olewe meno bila ganzi, ung'olewe kucha na komeo, uvunjwe taya na fuvu la kichwa.... hili haliwezi kuisha hivi ni lazima, kwa namna yoyote ile, iko siku kuna mtu atalipia..... liwalo na liwe.....
haya ni matatizo ya kuangalia tamthilia za Thailand!!!!
wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.
siyo mzima wewe!wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.