A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

Serikali anayo iongoza ni mtuhumiwa mkuu,hivyo rais Kikwete ni mtuhumiwa!!
Nadhani si sahihi kwake kwenda kwa dr Ulimboka bali itakuwa busara kama akijielekeza kujibu tuhuma nzito zinazo elekezwa kwa serikali anayo iongoza.
 
je una taarifa za hali ya Dr. ulimboka?

Meno katolewa bila ganzi, kucha kanyofolewa hali yake ni maumivu na anaendelea kupata wanachokipata wananchi waliowasusia matibabu.
 
Jamani naona watu mmecharge kama mafahali wawili ndani ya zizi! Ni vizuri kuwa na tahadhari kumhusisha Rais na kutekwa kwa Dr. Yes uongozi wake una matatizo lakini kumhusisha na hili jambo tunakwenda mbali. Kikwete si mtu wa visasi vya namna hii. Ana njia nyingi tu kama angetaka za kumdhibiti Dr. na asingekuwa na haja ya kutumia njia ya aibu namna ile.

Mtu anayesababisha shida ya madaktari ni waziri mkuu. Ameshidwa kumshauri rais ipasavyo kwenye jambo hili.

jambo usilolojua sawa na usiku wa giza!
 
Mi niko tofauti kidogo. Mambo yaende kimyakimya message inasomwa vizuri sana. Kuandamana sawa, lakini serikali za miafrika zinachomekea maneno tofauti na kubadili maana. Sasa tunangojea manesi waweke silaha chini, wafamasia, maabara na kila mahali, walete wachina wao watibu mpaka kwenye zahanati, maana wanakubali kwamba tatizo lipo na pesa ipo lakini sio ya kuboreshea huduma za afya, ila kuwalipa wachina na yeyote kutoka nje ya nchi na au majeshi.

Wananchi ni kuandamana kwao ni katika kususia serikali dhaifu kwa kuwaweka kando na kuingiza serikali nyingine nayo tuione inaendeshaje. Tanzania ni tajiri sana ila viongozi wake ni wanafiki sana na wabinafsi sana.

Watu wa haki za binadamu waendelee kupigia kelele mabadiliko yaje, lakini Katiba mpya iwe kiboko sahihi kwa viongozi wabovu kama tulio nao sasa.

I salute you Brother. Nimeipenda sana ya wananchi kuisusia serikali ingawa binaona kama ni strategy yenye kuhitaji/chukua muda kwani kwanza kabisa inabidi wananchi wenyewe waelimishwe haki zao na kuelimishwa umuhimu wa kuzidai na kwa staili gani.

Ya kusubiri manesi nao wagome pia ni nzuri ambayo inawezakuwa suluhisho la adha hii kwa sababu punde wakigoma tu na sie wananchi tutaandamana kudai huduma. Lakini sasa itawachukua muda gani manesi wote katika zahanati zote kugoma?
 
kwanini hakumuona kabla hajapigwa, kumaliza hili sakata la madaktari. unafiki tu
 
Madaktari mnaomtibu na mlio karibu na Dr. Ulimboka hapo Muhimbili kueni makini na wanaoenda kumuona hata akiwa mtu mkubwa serikalini hakikisheni kusiwe na hali yoyote ya kumgusa wala kumsogelea karibu sana, maana wanawenza kummaliza kabisa hata kwa sumu ili kupoteza ushahidi, ulinzi mkali unahitajika. Mapambano yanaendelea madaktari tusikate tamaa.
 
UNAJUA SABABU YA MADAKTARI KUGOMA..ugonjwa wako ni ule uleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.
 
Hakuna mwenye uwezo wowote wa kuweza kumzuia Mkuu wa nchi kumuona mpiga kuwa wake ambaye ni mwananchi. Kumbukni Kikwete ni rais wa wote kwa umoja wenu.

Hapa nakumbuka wale waliosifia na kunasibisha UAMSHO na uchomaji makanisa. Sasa kwa kisa hichi watasemaje? Au UAMSHO walikuja kumsurubu?
 
Angekuwa na akili asingeweka mguu wake Muhimbili kumwona Dr.Ulimboka,possibility ya kummalizia haospitali ni kubwa zaidi.

Sio rahisi km unavyofikiria!...madaktari hawalali,na wanafanya zamu kukaa pale,tena sio mmoja,na huingii pale unless ni mwenzao na wakufaham,na pia huingii pekeyako hata km ni daktari
 
Maneno yako ni sawa mkuu. Ndiyo maana nikasema jambo litizamwe kwa pande zote mbili ili kuziba uwezekano wa mianya inayoweza kumfanya muhusika mkuu akasevu kisanga. Nautizama upande wa pili pia kwa sababu njama yenyewe na utekelezaje wake haijakaa ki serikali serikali, imefanywa ki huni huni hivi.

Nakufanywa kihunihuni ndio mbinu yenyewe ya serikari kujificha isigungulike kama imetekeleza uharamia huo mbinu zipo nyingi mkuu za kutekeleza mauaji.
 
Kwanza inabidi katiba ijayo hata viongozi watibiwe hapa2 ili waone machungu wanayopata wengine,kama kiongozi kwenda nje ajigharamie,wao wanaweka bajeti kubwa kwenye anasa kuliko sekta muhimu nashangaa sana,hata vingora vyao inabidi visiwepo maana wenyewe bara2ni hawajui adha ya foleni ndo maana hawaoni umuhimu wa bmiundombinu,ifike wakati na wao waishi maisha anayoishi mtz wa kawaida,yani kinachonisikitisha zaidi wapiga kur wanaishi kwa tabu halafu wanaowapigia wanaishi dunia tofauti.INAUMA SANA.Hivi kweli tunashindwa kubadilisha chama ili tuone nchi itakuwaje,kwa kweli huu uongozi dhaifu umetuchosha kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Haiwezekani Madaktari wa Muhimbili waanze kumpiga yule askari bila sababu, kuna kitu walimsikia akiongea kwenye simu kwa siri, sio bure.
 
Well, I guess its only fair. After all, it's what he does best...kutembelea wagonjwa, wafiwa..and the list goes on and on!
 
My beloved country Tanzania. Why DHAIFU is destructing you? Where is peace said you are an Island of?

The love of money is the source of all evil. Hata mafuta ya Zanzibar tunataka kuwapora. Wametuona tulivyo mazuzu, tunagawa madini kwa bei ya kutupa. Na sasa vibaka wa UWT wanatumwa kuua madaktari. Na tunataka kuwakimbiza madaktari nchini. Tanganyika kwanza.
 
Hakuna mwenye uwezo wowote wa kuweza kumzuia Mkuu wa nchi kumuona mpiga kuwa wake ambaye ni mwananchi. Kumbukni Kikwete ni rais wa wote kwa umoja wenu.

Hapa nakumbuka wale waliosifia na kunasibisha UAMSHO na uchomaji makanisa. Sasa kwa kisa hichi watasemaje? Au UAMSHO walikuja kumsurubu?

Wenye uwezo wa kumzuia wapo,daktari wake + familia yake...hata km ni rais,km daktari wake ana sababu za msingi ana uwezo wa kumzuia!
 
Jamani naona watu mmecharge kama mafahali wawili ndani ya zizi! Ni vizuri kuwa na tahadhari kumhusisha Rais na kutekwa kwa Dr. Yes uongozi wake una matatizo lakini kumhusisha na hili jambo tunakwenda mbali. Kikwete si mtu wa visasi vya namna hii. Ana njia nyingi tu kama angetaka za kumdhibiti Dr. na asingekuwa na haja ya kutumia njia ya aibu namna ile.

Mtu anayesababisha shida ya madaktari ni waziri mkuu. Ameshidwa kumshauri rais ipasavyo kwenye jambo hili.

kwani huyo waziri mkuu anateuliwa na nani? HATA WEWE NI DHAIFU!
 
Jambo usilolijua ni kama usiku wa kiza. Kitanda usichokilalia hujui kunguni wake. Huyo rais wa tano awe daktari leo. Yeye angefanyaje? This is a war and in every war there are casualties. Iran nini kinatokea. Na kuhusu swala la jk kumwona au kutomwona dr. Uli ni uamuzi wa madaktari wanaomtibu pamoja na mgonjwa mwenyewe kuamua. Ila tusisahau kwamba rais wete ana phd ya kutoa pole. Kwenye maamuzi mazito yeye kimyaaaaaaa! Hapo aaaaaaaaaaaahhhhhh!!!!!!!!! Atajinafasi. Atatoa porojo siku inapita
 
wanagoma na mwisho wa mwezi wanaenda na ATM kudraw Bank fedha zetu walipa kodi huku wagonjwa wetu wanakufa hospitali. hii ni halali? kwanini waendelee kulipwa mwezi huu? kwanini serikali haigomi kuwalipa kwa kususa kwao? hawatendi haki hata kidogo.

Mkuu ATM kudraw Bank fedha zetu ndio umesema nini hapa kajifunze kuandika kwanza ndio uje hapa jamvin pambaf
 
Back
Top Bottom