30 - 36 years old: An Official Thread

30 - 36 years old: An Official Thread

kwa jinsi mambo yalivyo sjui nitafute washirika tufungue kanisa?..kwa maana bila connection mjini unaweza fikia kulamba miguu watu ila chati yako ipande kama kina mwijaku... ndo nawewe upate clown athlete yakufichia aibu..hakuna kitu kibaya kama sytsem zote zinakutema at the age of 30 going ahead..yaani hata zile za ukarani unatoswa, za makazi inatoswa..na una gamba la yudism zuri ila ndo huna sifa za kujichetua kwa kina ridhwani ama kwa gsm
 
Bado few years niifikie hiyo 30 halafu nikiangalia mambo yenyewe hayaeleweki kama mvua za Dar, mbona kuna kudata,
Huna mume, huna mtoto, pesa huzioni aaah' walaqhi tena..!!
Nikipataga tu hayo mawazo narudia narudia hiko kipande wa Bensoul
My now (Everyday, all day) My future (Para-pam-pam-pam) Yeye ndiye ajuaye (Uh-huh) Yeye ndiye apangaye (Yes He knows, yeah) Jana, leo, kesho (And every other day) Yeye ndiye ajuaye (Yes He knows, yeah) Yeye ndiye apangaye

Popote (Everywhere you wanna go) Unapohitaji kuenda yeye atakufikisha (Yes he will be there, he will be there) Weka imani kwake Shida zako zote Hakuna linalomshinda

Ila wewe (Don′t you worry) Usisahau kuomba

All is well mamii Kikubwa Usikate tamaa Kesho yako ni nzur zaid
 
Live your best life every day.

Usisubiri a future date life is unpredictable.

Tuliwahi kujua kutakujaga gonjwa kama Corona litikise dunia libadili kila kitu?

Whatever you can do to make today memorable, go for it.
 
Maisha ya dunia yakikuchapa mpaka umri huo Ni Bora kuanza kuwekeza kumjua mungu wako na kuitafuta pepo.

Sio pote pote ushindwe.

Ushindwe duniani na ushindwe kuu-wona ufalme wa mungu.

Japo swala la kutoka kimaisha halina umri Wala nini. Ni muda wowote tu haijalishi
At 30 bado ki Tanzania ni umri wa mtu kutafuta Maisha Boss so hata Kama huna kitu utatoboa tu,kwetu 30 ndio kijana huyo maji ya Moto wa gesi kabisa
Ila Kama una Miaka 30 na huna kiwanja utalala yoooh,yani kosa nyumba usikose kiwanja angalau
 
Acha kututia depression. Ndo kwanza nna 34, mtoto 1 na mke(sijahalalisha makaratasi ya serikali), kwa wazazi imeshapita na ila tunaishi sote. Life begins at 40
 
Yaani wewe ni kama mimi 40 inaniogopesha zaidi isije nikuta bado niko niko tu kibachela

Sina mke sina mtoto kazi ninayo kiwanja ninako nyumba ninayo.

Lakini naona sijaiva kabisa nahitaji nibutue kweli kweli

Daah stress hizi
Yani una pa kuishi,kiwanja unacho na unamudu Maisha stress za Nini ? Mimi siku hizi sifikilii kuoa Wala kupata mtoto,hazipo Tena kwenye priorities zangu
Hata nifikishe Miaka 59 sitowaza mtoto Wala mke,am better off on my own
 
Dingi ni dingi,yaani dingi ndiyo full kujali na kunipa moyo mwanaume mwenzie,nikiona upumbavu wa sijui Nani Kama mama,natukana kinoma moyoni yaani,wanawake wengi wangese Sana yaani!!..honestly simpendi,ndiyo maana sijampa binti yoyote jina lake na sitompa
Dah!... samehe
 
Bado few years niifikie hiyo 30 halafu nikiangalia mambo yenyewe hayaeleweki kama mvua za Dar, mbona kuna kudata,
Huna mume, huna mtoto, pesa huzioni aaah' walaqhi tena..!!
Me kinacho niuma nisha pita kidogo hiyo age30 but still sina mtoto, sina mke wala hata mchumba wa kuzugia, hata nikipata vipesa nabaki kuvitapanya tu kwa kuwa moyoni nisha jiwekea kuwa me furaha yangu ni kuwa na mtoto hata kama nitakosa mari za kutupwa(utajiri) ila hata mtoto wa kusingiziwa bado.
 
Yani una pa kuishi,kiwanja unacho na unamudu Maisha stress za Nini ? Mimi siku hizi sifikilii kuoa Wala kupata mtoto,hazipo Tena kwenye priorities zangu
Hata nifikishe Miaka 59 sitowaza mtoto Wala mke,am better off on my own
Mkui nina njaa ya mafanikio sana.

Sijioni kama nimeafanya kitu.

Huku underground harakati nyingi sana nyingine zinabuma
 
Bado few years niifikie hiyo 30 halafu nikiangalia mambo yenyewe hayaeleweki kama mvua za Dar, mbona kuna kudata,
Huna mume, huna mtoto, pesa huzioni aaah' walaqhi tena..!!
Basi mimi na wewe tuwe kama mke na mume. Tutiane moyo wakati tunaikaribia 30.

Naomba nikutumie CV pm.
 
Mkui nina njaa ya mafanikio sana.

Sijioni kama nimeafanya kitu.

Huku underground harakati nyingi sana nyingine zinabuma
Hapo naweza kukuelewa Sasa Mkuu, pambana,usichoke, mzee wangu katoboa Ana Miaka 40,kabla ya hapo ilikua ile vijana wanaita Apache alolo Yani hakuna kitu
Mshahara wake wakati Ana Miaka 30 ilikuwa ni laki 7 take home!!! We utatoboa tu Mkuu
 
Bado few years niifikie hiyo 30 halafu nikiangalia mambo yenyewe hayaeleweki kama mvua za Dar, mbona kuna kudata,
Huna mume, huna mtoto, pesa huzioni aaah' walaqhi tena..!!
Shemeji pole Sana,Cha muhimu ni kimoja tu,uzeeni tusiishi kwa tabu,Kuna member Fulani humu aliwahi kusema ni heri ataabike sahivi ila uzeeni aishi vizuri
Cha msingi tukifikisha 50 tusiwaze pesa ya kula Wala kulipia Kodi
 
Maisha ya dunia yakikuchapa mpaka umri huo Ni Bora kuanza kuwekeza kumjua mungu wako na kuitafuta pepo.

Sio pote pote ushindwe.

Ushindwe duniani na ushindwe kuu-wona ufalme wa mungu.

Japo swala la kutoka kimaisha halina umri Wala nini. Ni muda wowote tu haijalishi
Umenena!
 
Nilipokua

Nilipokua kwenye huo umri,mipango ikavurugika,nikarudi home,wa kwanza kunionesha dharau ni bi mkubwa,akawafundisha na watoto wa wadogo zangu pale home kunidharau,hakutosheka..akawa ananijengea dharau kwa watu mitaani,usiombe huo msongo wa mawazo,nikaanza kubeti nipate hela niondoke,mungu siyo benard Morrison network yangu ikalipa,kwa Sasa Nina kipato kuliko kunguni yoyote kwenye ukoo,na huwa sijui Cha kumfanya no mkubwa..Ila bado Nina grudge nae
Hahaaa wasamee,ndiyo kawaida ukiwa huna kitu hakuna heshima!
 
Back
Top Bottom