30 - 36 years old: An Official Thread

30 - 36 years old: An Official Thread

Maisha ya dunia yakikuchapa mpaka umri huo Ni Bora kuanza kuwekeza kumjua mungu wako na kuitafuta pepo.

Sio pote pote ushindwe
Ushindwe duniani na ushindwe kuu-wona ufalme wa mungu.

Japo swala la kutoka kimaisha halina umri Wala nini. Ni muda wowote tu haijalishi
Nilipokua

Nilipokua kwenye huo umri,mipango ikavurugika,nikarudi home,wa kwanza kunionesha dharau ni bi mkubwa,akawafundisha na watoto wa wadogo zangu pale home kunidharau,hakutosheka..akawa ananijengea dharau kwa watu mitaani,usiombe huo msongo wa mawazo,nikaanza kubeti nipate hela niondoke,mungu siyo benard Morrison network yangu ikalipa,kwa Sasa Nina kipato kuliko kunguni yoyote kwenye ukoo,na huwa sijui Cha kumfanya no mkubwa..Ila bado Nina grudge nae
 
Kwahiyo unaita ndugu zako kunguni 😂 wakati hao ndio wataandaa ratiba za kukuchimbia ft 6 kwenda chini
 
Mimi hapa niko kwenye huo umri, kiuchumi mambo yanaenda vizur na endapo ningekuwa na uwezo wa kuwa na mwanamke mmoja tungeweza kuboresha maisha zaidi, Ila changamoto nayopitia ni tamaa ya ngono, yaani kila mwanamke mzuri namtaka, nakosa maamuzi ya nimuoe nani, nina bahati Sana ya kukutaka na wanawake wazuri (wife material) Ila naishia kuwatesa kutokana na umalaya wangu, nyie wanawake chenchei/ chenchede/ wembamba harafu wenye tak** fulani zuri, mnayumbisha Sana maamuzi yangu.
 
Hakuna umri ambao ni very crucial kama 30-36 yrs old.

Ni umri wa mixed feelings: Depression, Anxiety, Kujuta, Furaha, ninge zinakuwa nyingi.

Mara nyingi (sio mara zote) huu ni umri ambapo hali ulio nayo kisaikolojia, physicallity (unene, wembamba etc), kihisia na kijitihada ndio itakuwa nguzo maishani mwako hadi uzee.

Ni umri wa kujiuliza hapo ulipo ndipo ulipo taka kuwa kipindi cha ndoto, matarajio, maombi na mipango wakati una umri wa miaka 16-25.

Maswali kama
■Una mke/mme
■Umeshatoka kwa wazazi
■Umepanda cheo
■Ume/una jenga nyumba,
■Una/ume nunua gari,
■Unamiliki kiwanja
■Wazazi unawahudumia,
■Umepanda cheo
■Hali yako kifedha
■Akiba na assets
■Biashara na uwekezaji wako
■Umeacha utoto.

Ni thread ya kushare changamoto, matunda, ushauri, kuelimishana na jinsi ya ku handle huu umri kwa wale tulioteleza, kuchelewa ili tujinasue b4 its very late

Karibuni.
Achana na ujinga wala msihangaike na Umri..

Cha muhimu jitahidi kulinda afya maana ukiwa na afya njema una fursa ya kuishi kwa zaidi ya miaka 75 na life Biggins at 40..

Binafsi sihangaiki Sana na Umri ila kikubwa nikifikisha 50 years niwe na nguvu bado maana hata wenye vyeo wengi wao wako kwenye Umri huo na Wana afya njema na nguvu.
 
mafanikio ni kupata kile ulichokitamani katika maisha yako hii ndio formula yangu ata nikipata ela siezi kuwaza kujenga au kununua gari kwahio tunatofautina cha msingi umri huo ni kufocus na kile unahitaji vinginevyo ukiangalia list unaeza jipa stress kabla ya 40 ukapigwa kisukari na presha lidhika ulipo fikiria kuaga dunia na kubadili mwendendo wa maisha yako kamwe usijute

kwa ulichofanya shukuru kwakua umepewa nafasi ya kurekebisha hii safari ya dunia ni fupi mno kutoboa 60 ni mziki jiandalie makazi ya Millele hela inahitajika ata utakapokua na 70 haijawahi tosha
 
Back
Top Bottom